JK uliambiwa nchi haitatawalika ukawa unacheka cheka sasa kazi ndo imeanza ...ugali moto mchuzi moto...
Hali ya Tanzania ni tofauti kabisa na nchi zilizoendelea, ambapo huu utaratibu ndipo unapotumiwa.
Ni vigumu kumpata huyo mwanasiasa kwa sababu tegemeo kubwa ingekuwa ni wabunge ambao ndio walisinzia mswada wa ukapita. Wanaogopa kula matapishi yao.Mimi kama kuna mwana siasa anataka tumkumbuke achukue hili jukumu la kuongoza maandamano. Hii serikali ni kama komando yosso, wezi sana hawa wadudu.
Nimeipenda hii, tena naunga mkono hoja,
kwetu tutafunga mlango na tutaishia bichi kula upepo.
tena jirani zangu wote ni waislamu nao najua walishakataa mapema
kuhesabiwa itabidi tukodi kosta wote tuhamie bichi.
Heading ingekua WAFANYAKAZI WA SEKTA BINAFSI na sio wafanyakazi wote.
kwani wale waajiriwa wa serikali kuu na wale wa TAMISEMI siku zote wamekua hawana hiyo priviledge ya kujitoa kwenye mifuko yao ya PSPF na LAPF.
Hata ukifanya kazi miaka 20 lakini ukawa haujatimiza umri wa kustaafu huwezi kulipwa mafao ya kujitoa kwenye hiyo mifuko pamoja na kuwa na wao wanachangia asilimia 20% ya mishahara yao kila mwezi.
Hiyo mifuko ya PSPF na LAPF pamoja na wa ZSSF(kwa Zanzibar) imeshaset precedence ya hii sheria mpya kuanza kutumika mpaka kwenye sekta binafsi. Sababu tutaambiwa hata hao wengine nao ni watanzania na wana matatizo
kama yetu sote.
Msipohesabiwa tutawakadiria. Level of confidence ni kubwa kwa sample hiyo ya watakaokubali kuhesabiwa
idadi yenu inafahamika poor strategy.mkajipange upya.Wafanyakazi pamoja na Familia zao wameamua kugomea sensa.
Serikali inatakiwa itoe suluhisho la mafao haraka kabla tarehe ya SENSA.
SOURCE: RADIO ONE HABARI
Hainiingii akilini. Kwani mtu akiacha kazi anaendeleaje kuwa mwanachama wakati hachangii? Au katika hizo sekta hakuna kuacha au kuachishwa kazi?
Wafanyakazi pamoja na Familia zao wameamua kugomea sensa.
Serikali inatakiwa itoe suluhisho la mafao haraka kabla tarehe ya SENSA.
SOURCE: RADIO ONE HABARI