Suala la Mafao, mambo yamekuwa mazito. Wafanyakazi wameamua kususia sensa

Ipo haja ya kufanya ammendiments katika hili (mafao new law) na kuhusu wafanyakazi kugomea sensa sawa wanaweza kufanya hivyo lakini si tayari idadi yao inajulikana kwenye funding insitutions hizo? So sio suluhisho kugomea sensa cha msingi hapa ni namna gani tutapata mafao yetu before 55yrs.Kwa sasa yatupasa kujiuliza maswali haya 1.Hivi kuna ulazima wowote wa kutunziwa pesa na mifuko hii? 2.Kama ulazima upo kwa manufaa ya baadae je kuna riba katika utunzaji huo?
 
Sensa ni mradi wa ulaji Ndio maana wana insist Mimi nikiwaona wanakuja nasepa bar kusahau machungu Unajua matatizo ya nchi Hii ni yetu sote, ufisadi huu sio tu sisi utatuadhiri Bali mpaka vizazi vijavo tutumie advantage Hii ya sensa kufikisha ujumbe kuwa tumeichoka serikali sio wafanyakazi peke Yao hata machinga makondacta na hata ms house girls/boys wote tuisusie sensa Hii kwani tension sio kuhesabiwa Bali ni kuhalalisha ulaji wao. JIULIZE kuhesabiwa kutatatua vipi matatizo yetu? Tuweke ugwanda na ugamba pembeni say no to sensor
 
Tanzania hatuna solidality, madocta juzi wamekubaliana vizuri lakini wengine wamerudi kazini. leo waalimu wengine wamekubali kuacha mgomo.
leo tena tunakubaliana hivi lakini wangapi wanasoma JF? wafanyakazi kama 20 asilimia tu wanasoma wengine zzzzi hawajui chochote aaaagh shit
 
heb acheni upumbavu. kusingekuwa na sensa mwaka huu tungesusia nini. mi ni mfanyakazi, mbona sijasusa? sensa ni kwa faida ya taifa, sio serikali!
 
da 55 parefu ndo nimeanza kaz mwaka huu bado kama aka 30, nlivyo dhaifu ntafka kwel mmh
 
kugomea sensa! sidhani kama ni njia sahihi ya kushinikiza madai ya wafanyakazi ni kama vile dalili za kuuma na kupuliza(uoga),

vyama vya wafanyakazi vina wajibu wa kuwatetetee wafanyakazi,

na suluhisho ni nikuandaa migomo na maandamano nchi nzima tu

wako wapi TUCTA????
 
Jeshi la Polisi (FFU) na Usalama wa Taifa watumike kusimamia hilo zoezi la sensa na ikiwezekana wote wanaopinga watekwe nyara , wateswee kwa kung'olewa meno, kunyofolewa kucha na kutupwa Mabwepande. IGP Saidi Mwema na Mkurugenzi wa TISS Othman Rashid, Hakikisheni ACP Ahmed Msangi na afisa wa TISS Ramadhani Ighondu wanaendesha hizo operation kwa ufanisi wa ajabu, kazi kwenu.
 
me and ma all family big NOO to sensa wanataka kujua idadi hili wendelee kutafuna nssf zetu no no no no
 
kugomea sensa! sidhani kama ni njia sahihi ya kushinikiza madai ya wafanyakazi ni kama vile dalili za kuuma na kupuliza(uoga),

vyama vya wafanyakazi vina wajibu wa kuwatetetee wafanyakazi,

na suluhisho ni nikuandaa migomo na maandamano nchi nzima tu

wako wapi TUCTA????
kitu kikubwa katika mipango ya selikali kwa wakati huu ni sensa kuonyesha kwa sheria ile kandamizi selikali hatuipendi ni kuikwamisha kwenye mipango yake tukianzia hili la sensa ni ujumbe tosha kuwa hatuipendi tukiiunga mkono kwenye mipango yake huo ndio unafiki9 na uoga naunga mkono wafanyakazi kugomea sensa mpaka sheria ya nssf na mifuko mingine irekebishwe sensa big nooo kwa wafanayakazi wote na familia zetu
 
Ipo haja ya kufanya ammendiments katika hili (mafao new law) na kuhusu wafanyakazi kugomea sensa sawa wanaweza kufanya hivyo lakini si tayari idadi yao inajulikana kwenye funding insitutions hizo? So sio suluhisho kugomea sensa cha msingi hapa ni namna gani tutapata mafao yetu before 55yrs.Kwa sasa yatupasa kujiuliza maswali haya 1.Hivi kuna ulazima wowote wa kutunziwa pesa na mifuko hii? 2.Kama ulazima upo kwa manufaa ya baadae je kuna riba katika utunzaji huo?
onesha uwezo kidogo wa kufikiri kule kuna watoto na mke wangu binamu yangu, mtoto wa dada, babu mtoto wa nje wa baba, hawa wote hawapo nawaambia hakuna sensa uoni bado hili lina impact kubwa
 
Heading ingekua WAFANYAKAZI WA SEKTA BINAFSI na sio wafanyakazi wote.

kwani wale waajiriwa wa serikali kuu na wale wa TAMISEMI siku zote wamekua hawana hiyo priviledge ya kujitoa kwenye mifuko yao ya PSPF na LAPF.

Hata ukifanya kazi miaka 20 lakini ukawa haujatimiza umri wa kustaafu huwezi kulipwa mafao ya kujitoa kwenye hiyo mifuko pamoja na kuwa na wao wanachangia asilimia 20% ya mishahara yao kila mwezi.

Hiyo mifuko ya PSPF na LAPF pamoja na wa ZSSF(kwa Zanzibar) imeshaset precedence ya hii sheria mpya kuanza kutumika mpaka kwenye sekta binafsi. Sababu tutaambiwa hata hao wengine nao ni watanzania na wana matatizo
kama yetu sote.
wao kazi ikipungua ataendelea kula mshahara mpaka umri ufike mimi kazi ikipungua ndio kikomo cha ajira yangu yaani hapo tofauti kabisa ni maji na mafuta hatufanani hata chembe streach brain a little bit
 
jamani sisi wafanyakazi kugoma kuhesabiwa ndiyo basi..au kuna hatua inayofata hivi hatuna viongozi wa wafanyakazi mbona leo huko geita wameandamana viongozi wetu wako wapi? wanamsimamo gani

mwanajamii tatizo liko hapo kwenye red......
hivi vyama vya wafanyakazi nafikiri viongozi wake ndio wananufaika zaidi kuliko wanachama.....
wangekuwa wapo kwa ajili ya maslahi ya wafanyakazi, hili suala la mafao wangekuwa wameshaunganisha wanachama wao ili waliweka sawa hili jambo.....
binafsi sioni umuhimu na faida za kuwepo hivi vyama.....
 
Hata mimi sioni sababu ya kuhesabiwa kama sipati msaada kwa serikali...why give my particulars; hata wasipogoma mimi sitahesabiwa kuonyesha serikali hii na mimi hatuko wamoja
 
Nahisi kuna misscomunication baina ya wafanya kazi au hakuna umoja.
laiti kungekuwa na umoja nasema hili swala leo tungekuwa tunadiscuss issues nyingine kabisa kwani lingeshatatuliwa kitaambo.
Naunga mkono hoja. TUCTA sijui kwa nini hawajahamasisha suluhisho la pamoja??
inakua kama kila kijumuiya cha wafanyakazi kinapigana kivyake. hilli ni suala la maamuzi ya pamoja.
 
Ipo haja ya kufanya ammendiments katika hili (mafao new law) na kuhusu wafanyakazi kugomea sensa sawa wanaweza kufanya hivyo lakini si tayari idadi yao inajulikana kwenye funding insitutions hizo? So sio suluhisho kugomea sensa cha msingi hapa ni namna gani tutapata mafao yetu before 55yrs.Kwa sasa yatupasa kujiuliza maswali haya 1.Hivi kuna ulazima wowote wa kutunziwa pesa na mifuko hii? 2.Kama ulazima upo kwa manufaa ya baadae je kuna riba katika utunzaji huo?
hata tukijibu "hapana" kwa hilo swalila kwanza kwa mfano,
bado linakuja suala jingine kua, je watatupa hizo fedha then ndo tujitoe??
maana kama sasa na uanachama wetu wanzibana je tukitaka kujitoa?
 
mwanajamii tatizo liko hapo kwenye red......
hivi vyama vya wafanyakazi nafikiri viongozi wake ndio wananufaika zaidi kuliko wanachama.....
wangekuwa wapo kwa ajili ya maslahi ya wafanyakazi, hili suala la mafao wangekuwa wameshaunganisha wanachama wao ili waliweka sawa hili jambo.....
binafsi sioni umuhimu na faida za kuwepo hivi vyama.....
Hapa kuna viongozi wengine ambao wako kwa manufaa ya wanachama mfano Dr Ulimboka...ni wakati wa kuchagua viongozi walio makini zaidi kwa manufaa ya wanachama wao.
 
Mkuu acha tu yani hicho kitambulisho cha taifa kisingekua cha kupigia kura nisingejiandikisha kabisa na hyo sensa lazima tuikwamishe coz haina manufaa yoyote inaharibu tu kodi zetu mie sitohesabiwa na sitaki kuhesabiwa waondoe ungese wao kabisa tena akija mtu wakuhesabu sensor namkurupusha na bastola!

nitakuwa mmoja wawatakaogoma kuhesabiwa..

Yaani mimi nilishafanya maaumuzi siku nyingi tu kuwa waende wakahesabu Machungwa sokoni siyo kunihesabu mimi.

Kwanza nahitaji kujua umuhimu wa hiyo Senya kwangu na familiya yangu.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom