Kwani mkuu ukiwa na carry ukashindwa kuchomoa linakuwa ni somo moja au ??Watu wasingemaliza chuo mkuu, kama alikua na carry akashindwa kuchomoa sawa... lakini kama kafeli somo moja kwa semester hawezi kudisco, na ndio swala alilokuwa anazungumzia mtoa mada wa kwanza
Sijasoma tz sasaBila shaka wewe hujafikia ngazi ya chuo kikuu.
Umenielewa vizuri mkuuMtoa Mada hajaiweka mada vizuri alafu wafu wanamshambulia jamaa kaja na point muhimu sana. Ni kwamba kwanini kufeli kwa mwaka mmoja masomo maybe matatu kukufanye udiscko..kwanini mtu atleast asirudie mwaka au arudie mwaka yale masomo alofel ila sio kudisco..
Inawezekana bro, kuna vyuo discontinuation inaangalia idadai ya failed subjects, mfano Chuo una disco ukiwa na failed courses nne, sasa unakuta mtu first alkuwa na sup 3, na hakusapua, aka-carry,second year semester one anapata GPA ya 3.5 lakini anapata sup moja, plus zile 3 za previous year anakuwa amedisco. hicho ndicho alichomaanisha jamaa kuwa unakuta mtu na GPA ya 3.5 na s/he gets discontinued.Mtu ana kozi nne na sup upate tatu hiyo 3.5 utaipata wapi??
discontinuation sio lazima kwa kipimo cha GPA tu, hata kwa idadi ya failed subjects(courses)Mkuu hapa umedanganya au rafiki yako kakudanganya. Hakuna mtu anaweza disco kwa kufail somo moja tu.
Kudisco maana yake mtu hajafikisha GPA kiasi flani.
Ni kweli. Tatizo watu huwa hawazielewi examination regulations!! Ni lazima kufaulu CORE courses zote!!! Hata kama una GPA ya 4, lakini kozi moja ikakushika, ukasapu ukashindwa kusapua. Ukacarry lakini ukasapu tena na ukashindwa kusapua, hapo ni bye bye!!!! Of course wengi huchomoa katika mchakato huu, lakini ukishindwa unaondoka!!GPA yoyote utakayoipata kama ukishindwa kuchomoa carry over ya somo moja unaondoka chuoni
Sawa!! Hakuna supplimentary ya kurudisha uhai wa mtu!!! Kwa nini ufeli kozi zote tatu!!! Ni kuepusha majanga mahospitalini!!!Muhas ukifaulu semester tatu I mean mbili za first year na moja ya second year ila ukapata 3 sups za semester ya NNE unadisco no matter ur GPA in that and thoz previous semesters.... Vyuo vngne nuksi sana
No research no right to speak.Yani katika vitu nisivyvielewa hapa duniani tena Tanzania ni swala zima la kudisco MTU anafaulu semester zote halafu anafeli somo moja semester ya mwisho eti anaambiwa amedisco na haruhusiwi omba hiyo course for 3 years au akaanze mwaka Wa kwanza . Mimi hapo sijaelewa hivi somo moja nifute performance ya MTU ya miaka 3. Hivi Nina uhakika maprof wa bongo wamesoma nje wanaelewa system zipoje hivi wanashindwa badilisha huu ujinga. Kwanza hii system inafanya Prof awemungu MTU aamue kufelisha watu au kutaka kuchukua rushwa . naandika hayo baada ya rafiki yangu tuliyesoma,nae high school yeye kuanza first year wakati wenzake tunamaliza,masters.
Namahukuru mungu elimu yangu ya chuo sikusoma bongo na sitokuja soma bongo labda kufundisha.
Tujadiliane kuhusu hili LA kudisco
==============================
UPDATE:
Ngoja niwaelezee system niliyosomea maana watu wananiandama kama Mimi ndo muhusika
Bachelor's nimetumia French education system ambayo kila mwaka unajitegemea l1,l2,l3 so unaweza soma mpaka mwaka Wa pili ukasitisha masomo ukakaa kita kama miaka 2 then ukarudi shule ukaendela l3 au ukahama chuo kabisa . na certificate unaweza omba each year hivyo hivyo kwenye masters
My masters natumia German education system IPO tofauti jua tu unaweza soma kila semester chuo chake na ukapata degree huku ni mwendo Wa semesters.
=========================
Kinachoniuma ni hizo disco za bongo zinatia taifa hasara Sana
Elimu ya nje abscond inakutoa jasho, nshakusoma mkuu.Ndo kitu gani Mimi sijasoma system ya bongo hizo term zinanitoa jasho
Hakuna kitu kama hicho mkuu, kufeli semester moja ikakuondoa chuoni.OK labda nimekosea Ila Mimi nikachonishangaza kufeli semester moja kinakufanya ufute miaka yote ya nyuma
UDOM NI GPA YA 2.0 MKUU NA SIO 1.8Hii haiko applicable kwa vyuo vyote, kwa mfano Mzumbe ukiwa na supp 3 au 4 kwa mwaka hata kama una gpa above 1.8 unadisco, muhas hivyo hivyo, udom wanatumia 1.8
Kwa nn mkuuNikimkuta mtu amedisco chuo najua ni mtu mvivu ni wa kumcharaza bakora tu
[emoji13] [emoji13] [emoji13]nimeishia form 4nlivoona heading nilijua ni kuhusu wanafunzi kwenda kwenye party kuruka majoka disco
Mkuu hata hilo somo moja sio kwa semester moja ndo udisco.Kwani mkuu ukiwa na carry ukashindwa kuchomoa linakuwa ni somo moja au ??
Ndio somo moja analomaanisha mtoa maada
Kwa mwaka mzima au semister moja, na je supplementary zinafanyika zote kwa muda mmoja kama baadhi ya vyuo vinavyofanya namaanisha supp za semister ya kwanza na semister ya pili zinafanyika kwa muda mmojaHii haiko applicable kwa vyuo vyote, kwa mfano Mzumbe ukiwa na supp 3 au 4 kwa mwaka hata kama una gpa above 1.8 unadisco, muhas hivyo hivyo, udom wanatumia 1.8