Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,250
- 113,653
Wasomi wa Kitanzania ni muflis kwa kuwa mfumo wa elimu yenyewe kuanzia ngazi za chini mpaka vyuo vikuu ni muflis .
Wasomi wa TRA badala ya kurahisisha vyanzo vya mapato ili watu wengi walipe wao ndiyo kwanza wanakandamiza kwa mlolongo wa kodi.
Matokeo ni wachache kuweza kulipa na baada ya hapo kutokuzalisha wengi ambao wangelipa .
Nilishauri miaka mingi iliyopita, tuwe na flat rate ya kodi isiyozidi 20% kwa kodi zote, na ioneshe ni kodi moja tu .
Waone watavyokusanya kodi.
Hata Magu wako ni muflis?
Trump mbele kwa mbele....