Nchi ya Kodi zaidi ya Mkoloni

Jadi

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
1,494
860
Hivi hawa TRA mbona waonevu hivi??hivi na wao huwa wanalipa kweli hizi kodi??kwani watanzania wamewakosea nini??kwani kuagiza gari ni adhabu???eti kuagiza gari wao ndo wanakupangia bei kama ndo wauzaji-halafu hata kama unaagiza kwa bei ya chini wanalazimisha bei yao, yako ikiwa juu wanasahau kama yao iko chini wanachukua ya kwako!! ni wakati sasa kuigomea hii serikali onevu Zaidi ya mkoloni. Mfano hapo chini ni gari inayouzwa dola 1983, wao wanaweka dola 2200 na makodi kibao. Mlaaniwe nyie wezi kabisa

Customs Value CIF (USD):
2236.30
Import Duty (USD): 559.07
Excise Duty (USD): 139.77
Excise Duty due to Age (USD): 838.61
VAT (USD): 679.28
Custom Processing Fee (USD): 13.42
Railway Dev Levy (USD): 33.54
Total Import Taxes (USD): 2264
Total Import Taxes (TSHS):
4892504
Vehicle Registration Tax (TSHS):
320000.00
TOTAL TAXES (TSHS): 5212504
 
Wekana kodi za nchi nyingine tulinganishe.Sijui ni lini watanzania watapenda kulipa kodi.
 
Back
Top Bottom