Stupid things men do in relationship

Stupid things men do in relationship

Huyu jamaa Excel muache tu ajianike juu ya mawe usimshtue asije akaiga tabia ya mjusi kenge.... wenzenu twaponda raha mdogo mdogo kwenye kasri letu.

Umenikumbusha bwana Kenge kweli hamnazo... yeye muda mwingi anakaa kwenye maji... akiwa amejianika kwenye mawe huko mvua ikianza kunyesha tu, yeye hukimbilia kwenye maji (mtoni etc). sasa unajiuliza amekimbia nini na amekimbilia nini?

Tized Leo umenivunja mbavu zangu Aiseee!
Kasinde huyu Tized ndio mwanaume anaekufaa!

Excel ondoka kwenye mawe mkulu utakua mjusi yale madole!
 
Hat ukimuita haji kwa maana hapa Nipo nae tunapunga upepo kwa raha zetu
chezea mahaba mazito wewe
Hujui nimeumbwa kwa ajili yake eeeeh

We trust each other pole yako wewe una michepuko miiingi na ukiniona tabia ya kukonyeza uache

Hahahaaaa

Yani kila nikikuona lazima nkukonyeze siwezi kuacha my dear ICHANA
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa

Yani kila nikikuona lazima nkukonyeze siwezi kuacha my dear ICHANA

Si ndio janja yako hiyo ya fis kunifuatilia kama ntadondosha mkono
Ha ha ha ha miaka 800 muulize babu Asprin nilichomfanya
 
Last edited by a moderator:
Tized kwanini hauna imani na mimi when it comes to issue of women. Niamini bana na nipe nafasi ya kukaa na Kasinde na uwe na amani kabisa
Ntuzu mbona unamshtua my wife wangu Dena Amsi. Yuko shamba anavuna mahindi usimshtue kabisa niache nimpende Khantwe kwa muda
 
Last edited by a moderator:
Si ndio janja yako hiyo ya fis kunifuatilia kama ntadondosha mkono
Ha ha ha ha miaka 800 muulize babu Asprin nilichomfanya

Hahahaaaa

Yani wewe ulimuacha ODM Asprin ??? Umepoteza bomba la mtu Aisee!

Kwa Asprin kila siku ungekua na furaha sn!
 
Last edited by a moderator:
Tized kwanini hauna imani na mimi when it comes to issue of women. Niamini bana na nipe nafasi ya kukaa na Kasinde na uwe na amani kabisa
Ntuzu mbona unamshtua my wife wangu Dena Amsi. Yuko shamba anavuna mahindi usimshtue kabisa niache nimpende Khantwe kwa muda

Ngoja na Mie niende shamba nkamsaidie Dena Amsi kuvuna mahidi!

Hahahaaaa kazi haitofanyika Aiseee!
 
Last edited by a moderator:
Suprisre ya kasinde 1407296478922.jpg
 
Nyanabhe wofumila hee??????

Wiza na Makala gako ande?

Hahahahaaaaa lentwe lya ng'wagokoyo!

Womonaga ahene o- Kasinde ?????

Oleleka he elya miso gaza ele- Kiranga ????

Kinehe ngosha iigghh!!!

Wamilemo, mashikolo malongo haya
mmmmhhhhh!!!! ngoja nimuite mkalimni The Boss aje atafsiri, au nae ni wa mjini anaishia kwenye mwangaluka na mwadela ulimhola iiggghhh

Kinehe ne Kiranga!!
 
Last edited by a moderator:
Kinehe ngosha iigghh!!!

Wamilemo, mashikolo malongo haya
mmmmhhhhh!!!! ngoja nimuite mkalimni The Boss aje atafsiri, au nae ni wa mjini anaishia kwenye mwangaluka na mwadela ulimhola iiggghhh

Kinehe ne Kiranga!!

Wabheja sana ..! Mashkholo mageni
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaaa

Kasinde we kule kwetu Ni jina la mizimu bakulwa na bhadoto na bha kasindye..,,, Hahahaaaa

We ukiwa na Tized hawezi kuchepuka coz akichepuka tu ile mizimu kina kasindye inakupa full story yote km umemfungia chip vile ya kumtrack. Tized umekwisha!!!!

Nyani Ngabu na Kiranga na muuza ubuyu Wanaelewa haya makitu!

Kinehe ngosha iigghh!!!

Wamilemo, mashikolo malongo haya
mmmmhhhhh!!!! ngoja nimuite mkalimni The Boss aje atafsiri, au nae ni wa mjini anaishia kwenye mwangaluka na mwadela ulimhola iiggghhh

Kinehe ne Kiranga!!
 
Last edited by a moderator:
Usimtishe Tized bana, mie sina tabia ya kumfatilia mtu nachotaka heshima tuu baasss, akionesha urijali wake kwa wanawake wengine sina neno maana ni nature hiyo ila tuu asifanye machoni pangu yaani nisijue, akinifanyia makusudi ndo inakuwa mbaya. Kasinde is a very good time taker hope he will enjoy the brooze
Hahahaaaaaaa

Kasinde we kule kwetu Ni jina la mizimu bakulwa na bhadoto na bha kasindye..,,, Hahahaaaa

We ukiwa na Tized hawezi kuchepuka coz akichepuka tu ile mizimu kina kasindye inakupa full story yote km umemfungia chip vile ya kumtrack. Tized umekwisha!!!!

Nyani Ngabu na Kiranga na muuza ubuyu Wanaelewa haya makitu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom