Ngoja niwe km fisi kumfata mtu akizani mkono utaanguka! Ipo siku naamini utakua wangu tu! Lkn ndio iwe siri kweli asifahamu Khantwe maana patachimbika!
Habari ya kupima tumeongea hapa so tumalizane hapa mbele ya Tized
Braza, kwa kweli Kasinde ni hatari.. she has an eye bro, i cant imagine of her legs! lol.
Can you please give me 3 hours of privacy?.. i am busy with kasie!
OK tized, I wont do that as along as u have not allow me, am here your majesty am KING looh!!!
Naona Mke wangu unataka kunikandamiza mbele za Watu!
Ngoja nimuite muuza ubuyu awe shahidi wangu kabla sijatoa maelezo! Maana Hawa wote Tized Mr Rocky Mokoyo hawawezi kunitetea!
Pokea busu
I just love u Tized!!! umenikamata pabaya looh!!!
nimekumiss mamii...! nataka nikulishe 'keki' maalum! huu ndo muda wake sasa!
Ok ok Tized let me do something. I will be at your palace to visit and see her I have something special to tell her and na lazima iwe between us only
hahahaaa! nikipotea na mtoto wa kichaga naomba breki ya kwanza iwe kwa mama kule tarime!
mwambie niko machame na miss chagga! .. huyu mtoto anajua aisee, i am burning with lov!
Tabia ni kama ngozi, huwezi kujivua ngozi ukabaki hai. pamoja na manyo yoote hayo ya Khantwe? Loooooooooooooo!!
@Sie tupo tunakula raha kwenye boti yetu apa na kasinde... nyie endeleeni kujinika tu kwenye mawe na Excel wako... mmekuwa mijusi siku hizi nini? Hawa ndio wanapenda sana kukaa juu ya mawe
Asiye sikia la mkuu?
You obidience arouses me!!!
Huku ni kutafuta huruma usiyostahili....