Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Nateta na Tized kidogo............. bado niko meza kuu lakini
mamii mbona easy sana hii? yani lips signatures ni new model ya contractual bailment.. by the way, nisikusumbue kwa maneno mazito ya kibiashara! hebu njoo ukiwa umepaka lip shine kiasi tu, then ntakwambia cha kufanya..!
witnesses ni sisi wenyewe tu! no third party!
uuuuupsi ukimaliza maloveee haya tutasalimiana mkuu.....mahaba kwel upofu
Ultimately and wholeheartedly protected dearest!
dont kill urself by thinnking all those kasie!
from now on, a.k.a yako iwe kasie.. accept this first halafu tupae..
Please you are not allowed to meet this man alone.
Habari ya kupima tumeongea hapa so tumalizane hapa mbele ya Tized
huku ukini-chum basi kipenzi! ongezea na mahanjumati kidooogo wajing'ate videvu!
Tized umesoma hapa!!!!................. I feel unsecured!!
Khantwe dear you remember what i told you?Naona Mke wangu unataka kunikandamiza mbele za Watu!
Ngoja nimuite muuza ubuyu awe shahidi wangu kabla sijatoa maelezo! Maana Hawa wote Tized Mr Rocky Mokoyo hawawezi kunitetea!
Contrary to what I warned you lately, I have your approval to deal with you inversily, proportionally and parpendicularly as well; even quadratic equation!!!!!