Hahahahaaaa ile toyo yako iko wapi? huwa navuta picha ukiwa umevaa helmet halafu na hiyo miwani............. u r thinking about crushing.............. usijali natumai ubavu wako anakupenda kisawasawa kwa maana ya kuwa ukitoka nje ya mstari atakurudisha haraka, ukiona unatoka nje ya mstari na ubavu wako hakurudishi ujue keshakuchoka na hakupendi tena.
Kasinde muoga sana wa kupigwa na kumwagiwa tindikali, sio mtu wa vurugu vurugu na purukushani, sasa napata hisia Kasinde ndo amtoa Tized nje ya mstari wake si ubavu wako atantoa nduki weeehhh, ila ukikaa ki dizaini Kasinde akikupa vitu adimu vya kinyamwezi vile wanavyosifiwa navyo wallah hata ubavu wako akija humuelewi lugha.
Wananiita popo, Kasinde nakula ujana oyo woooh!!