Stupid things men do in relationship

Stupid things men do in relationship

Najua Tized hawezi nidanganya, atakachoniambia kuhusu wewe ntamuamini ila akinikataza kuja kukusalimia wakati yeye hayupo ntamtii tuu Tized siwezi kumkaidi.

Yaani wewe njoo wakati wowote hata usiku nyumba yangu iko free na haina usumbufu kabisa kwa wageni
Utapewa chumba cha wageni kulala na utapata huduma zote kama mgeni
Mwambie tuu Tized unaenda kumtembelea shemeji yako hatakukataza
 
Last edited by a moderator:
Be careful young lady

am very careful, after all better google Kasinde and know her well, she is popo mla ujana, worry not about me get worried about ur man and warn him not me.
Thanks as to you I look young.
 
Swty! Nilikua napima Gia zangu km zinaweza kumteka Kasinde

Mimi niko na wewe tu honey wangu! Hayo yalikua majaribio ya Gia za kung'oa mzigo!

Hahahahaaaa uachage kumrusha roho mwenzio looh
 
Wadanganye tu hao hao kaka.
Hawezi nifilisi
Hivi unajua hakuna kinachotoka kwa mganga bure bure
Nampa hivyo kwa kuwa ameshaweka hati yao ya shamba na nyumba kwangu so nikiona mambo yamekuwa magumu nauza faster Kasinde ushaona swala dume porini anashindwa kuwasiliana na group lake la majike aliyo nayo hapo jua hata kama wapo kumi humu sishindwi kufanya mambo aise
Excel huwa miss chagga anapewa haki yake tuu na wala habondwi wala kupigwa
Akishikwa sehem zake maalum analainika kama mlenda
Ntuzu si umeambiwa usipite huku kuna kitu kinaendelea sasa wewe umekuja kufanya nini unaharibu hali ya hewa ghafla
Tized niamini ndugu yangu nimefunga na funguo na nimezitumbukiza baharini usiwe na shida kabisa

Komba wa ToT ni ndugu yake!!
Hahahahahaaaaaaa Mr. Rocky wewe ni wale wa nyumbi hii bombi hii

Waiting PM yako dearest!!!!!!
Umesahau??!! basi ntakunong'oneza sikioni
Ntuzu macho juu juu mno. anataka kumchomoa Mr Rocky then ahamie kunichomoa mimi akupate kirahisi. hizi ni mbinu za miaka ya 47 kaka.
Kumbe Ntuzu ndo analeta ukorofi hapa kwa kutaka kukugombanisha wewe na ndugu yako Tized kumbe ni janja yake ya kunivuruga mie na Tized, asante kwa kumstukia mapema
Excel nilishaona muelekeo wako zamaaniiiii!!!!! naufahamu sana ukarimu wenu. Appl. rejected na imepigwa huri wa moto
kaka mkubwa hii ni personal invitation! kuna kamkataba nataka Kasinde awekepo kakidole kake bhana! ikiwezekana asaign kwa lipsi kabisa! lol.
she will be safe,,, dont worry!

Hahahaaaa!! Kukamatwa Ntuzu anajidai alikua anapima tu... Ndio atuambie SI UNIT ya mtongozo ni nini tujue lile saundi alikua anamtupia dearest wangu Kasinde ni laghaishi au ni saundi pimishi tu!!!!!
Hahahahahaaa Tized umenifanya nicheke kama chizi...SI Unit ya nini?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Wadanganye tu hao hao kaka.


Komba wa ToT ni ndugu yake!!


Waiting PM yako dearest!!!!!!

Ntuzu macho juu juu mno. anataka kumchomoa Mr Rocky then ahamie kunichomoa mimi akupate kirahisi. hizi ni mbinu za miaka ya 47 kaka.

Excel nilishaona muelekeo wako zamaaniiiii!!!!! naufahamu sana ukarimu wenu. Appl. rejected na imepigwa huri wa moto


Hahahaaaa!! Kukamatwa Ntuzu anajidai alikua anapima tu... Ndio atuambie SI UNIT ya mtongozo ni nini tujue lile saundi alikua anamtupia dearest wangu Kasinde ni laghaishi au ni saundi pimishi tu!!!!!

Tena atwambie kabisa alikuwa anapima nini maana nasikia wengine wanapima petroli sijui diesel....
 
Last edited by a moderator:
Mzuka ukipanda mimi nashuka

em kwanza tuburudike hunie! maneno makavu hayaangushi mbuyu unajua!

sikudhani kama ungekuwa sexy leo kuliko jana! dah! i'm impressed kwa kweli..

 
Last edited by a moderator:
Kasinde mbona sikuoni high table mamii?

kaka Tized anaona mbili mbili tayari!.. lol..
 
Last edited by a moderator:
em kwanza tuburudike hunie! maneno makavu hayaangushi mbuyu unajua!

sikudhani kama ungekuwa sexy leo kuliko jana! dah! i'm impressed kwa kweli..


Asante huby wangu
 
Last edited by a moderator:
Ndio tunakuandalia tego hivyo!!! jidai tu ameshakubali.. nakuona siku si nyingi ukitupambia kurasa za mbele za magazeti yetu ya udaku.


Sasa hata kumshika mkono kuna hatari ya kung'ang'aniwa uniambie mapema kabisa hata busu nisimpe mkuu Tized
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom