Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Hapana bana, mbona naona Mr. Rocky yuko na wake wawili awapendao na wako hapa wanakaba kila kona, najua hawezi mfanyia ubaya ndugu yake Tized kwa kumtenga na Kasinde looh
ona sasa unavyombondaga miss chagga!Ngoja nianze mazoezi na gym niende kabisa maana nasikia harufu ya kupiga mtu ngumi za reception hapa miss chagga hizi whisky unazoomba kwani zile ninazokununulia na kukupa pesa za kununua hakzikutoshi
Hapana bana, mbona naona Mr. Rocky yuko na wake wawili awapendao na wako hapa wanakaba kila kona, najua hawezi mfanyia ubaya ndugu yake Tized kwa kumtenga na Kasinde looh
Labda uwe umeandikiwa na dakrari upumzike kiafya au umevunjika back born... vinginevyo!!! Big No najua una nyota ya ng'e kaka.
Nawe umeshikwa pabaya eeh!!!! Khantwe mumeo naumuona sana viwanja siku hizi.. kwani kakuaga amesafiri???
Karibu sana, Ndio uswahilini kwetu humu.
Yap nyie ni wakarimu sana. Tulimuona pia tule mbunge wenu Bw Machemli akimkarimu binti flani hivi jina kapuni. Ndio maana hata kaka yako Ntuzu pamoja na Khantwe kujitolea ivyo bado jamaa linatembea macho juu juu tu apa mjini!
Wakikamatwa utawajua tu... eti nlikua napima!! SI unit ni nini?
Asalalalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!! miss chagga !!!!!! Hapo ndipo pabayaaaaaaa!!!!
Huyu mdogo wake machemli uwe naye makini mkuu!!!
na hili joto, em shusha vioo kwanza tuongee vizuri mamii.. AC nayo inaumiza sana ujue!
Kaka wewe tena, nakuamini sana hasa mambo ya hela... Hata Nikukupa Millioni 200 najua zitafika salama, ila nikupe shemejio uongozane nae tu!!!! THUBUTU!!!!!!!!!!!
(Sina maana hioooooo!!!!)
Labda uwe umeandikiwa na dakrari upumzike kiafya au umevunjika back born... vinginevyo!!! Big No najua una nyota ya ng'e kaka.
Nawe umeshikwa pabaya eeh!!!! Khantwe mumeo naumuona sana viwanja siku hizi.. kwani kakuaga amesafiri???
Karibu sana, Ndio uswahilini kwetu humu.
Yap nyie ni wakarimu sana. Tulimuona pia tule mbunge wenu Bw Machemli akimkarimu binti flani hivi jina kapuni. Ndio maana hata kaka yako Ntuzu pamoja na Khantwe kujitolea ivyo bado jamaa linatembea macho juu juu tu apa mjini!
Wakikamatwa utawajua tu... eti nlikua napima!! SI unit ni nini?
Asalalalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!! miss chagga !!!!!! Hapo ndipo pabayaaaaaaa!!!!
Huyu mdogo wake machemli uwe naye makini mkuu!!!
Mhhhh!!yangu macho tu ukifilisiwa mie nakopesha mkopo usio na riba usisite kunitafuta
Kasinde ushaona swala dume porini anashindwa kuwasiliana na group lake la majike aliyo nayo hapo jua hata kama wapo kumi humu sishindwi kufanya mambo aiseHapana bana, mbona naona Mr. Rocky yuko na wake wawili awapendao na wako hapa wanakaba kila kona, najua hawezi mfanyia ubaya ndugu yake Tized kwa kumtenga na Kasinde looh
Excel huwa miss chagga anapewa haki yake tuu na wala habondwi wala kupigwa
Aiseee Mr Rocky Naona ntajifunza shabaha Leo kwako na ile Milimita 9 Yangu! Kaa mbali na Khantwe wangu aisee!
come on miss! ntakupa zile sweet noise! noise za kukufanya upagawe!
em kwanza niambie nije na mitungi mingapi ya whisky?
cheki hii sample..
![]()
its very refeshing... ukiwa na mimi, sahau shida mamii!
Hahahaaaaaa.... hajui watu wanavyolilia miili kama hii... Slim n fit.
Kumbe Ntuzu ndo analeta ukorofi hapa kwa kutaka kukugombanisha wewe na ndugu yako Tized kumbe ni janja yake ya kunivuruga mie na Tized, asante kwa kumstukia mapema
na hili joto, em shusha vioo kwanza tuongee vizuri mamii.. AC nayo inaumiza sana ujue!