Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Hahahaaaa.... Mkuu siku hizi hela ukiwa na hela hata kama uko under 18 utasikia ''MZEE TIZED'' Ukimbao mbao ndio habari ya mujini... hahahahaaa
Mkuu sibanduki apo... nimejishikisha na supa GLUU. Ukizingatia yeye ana nyama kidogo tunamatch sana. Wewe kwa kuwa ni ndugu yangu unaruhusiwa kula kwa macho tu (kitu kizuri kula na ndugu yako, kibaya mpe Mbwa)
Uko peke yako sweetheart!!!!! nimekaa jangwani kwenye ukame muda sana, at least wewe umejitokeza walau unidondoshee tone moja kuuburudisha ulimi wangu!!!!! With me you are prudently secured.
My dear upendo wako ulivyo juu mbona ntanona mie? nshachekwa sana kamwili hako sijui nini nini? wewe kunenepa ni sawa la barabara ya lami kuota majani etc etc. Njoo nijiburudikie mieee walahiiiii!!!
shindwa na ulegee mshana jr
huyu jamaa anapenda vitu vizuri ale tu yeye... Naye ashindwe na kulegea
hahahahaha nasikia iko kinachoning'inia ndio kinachopoozaga vizuri. na wadada wanavipenda maana ni multipurpose... anaweza kutumia kama mto pia (pillow)
Comfirmed!!!!
, Huyu jamaa hela zimemfanya aitwe mzee bado ni mbichi sana kama Excel
hahahahaaaa... umeniacha sana hoi eti unawahurumia wajawazito....kama wazee wa enzi zetu wenye vitambi.... inhiinhiiii... ngoja waje!!!!!
Kifriza changu kwa kitaalamu huitwa ''SIX PACKS'' hahahahhaahaaaaa....
Yeahhhh a bit innocent... ngoja aje mzee wa fujo uone anavyoleta za kuleta apa cc Mr Rocky
Tized week ijayo utaenda Moro?