Stroke inaweza kumtokea mtu yeyote na ni hatari

Tafuta mpiga chuku(acupuncture) ninae jamaa yangu alipata hio stroke alifanyiwa chuku sasahivi akikwambia kama alipata stroke utakataa.


Lunatic
Mkuu naona ushauri wako uko vizuri sana ila sijajua Aina gani ya huo mpira boss wangu .msaada please
 
Nikweli kabisa, kuna baba yangu mlezi mmoja alikuwa vizuri kabisa tulikuwa naye sehemu, tulipoachana muda mfupi aka collapse, amekaa MOI unconscious kwa mwezi, akatoka tukampeleka pale ubungo njiapanda ya mzee wa upako kuna hospital ya wakorea ya kiduku walimfanyisha mazoezi saizi anatembea japo anachechemea ila hatukutegemea kuwa hivi, MUNGU ni mwema sana
 
Shukurani sana Mkuu. Tafadhali sana hebu nifafanulie zaidi hapa pa Cardio.
Yanajumlisha nini na nini Mkuu. Asante
Cardio exercise ni aina ya mazoezi ambayo yanafanyisha kazi MOYO pamoja na MAPAFU kwa wakati mmoja.

Kwa mfano, kupanda ngazi, kuendesha baiskeli mlimani, kukimbia etc.
 
Nilikuwa napiga kila siku aisee yaani mpaka nikawa najishangaa nilikuwa flexible mnooo huwezi amini kuna kipindi nilikuwa nikitoka ofisini kule Bamaga jioni nakimbia mpaka tabata kimanga nanyoosha na barabara tu hiyo non stop mpaka home,Dr alinikataza akasema umri wangu sipaswi kukimbia umbali mrefu hivyo

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Safi sana Mkuu. Naamini kuwa sass hivi hatakama hukimbii Urefu huo lakini fit vyema...
 
Jamani nina Jambo nataka kuwashirikisha ni hivi ilikuwa siku ya Jumatatu nilikuwa nakojoa mfululizo harafu mkojo unakuwa unataka kutoka nikichelewa kwenda chooni,nikaamua nikacheki sukari maana nilijua hiyo ni moja ya DALILI,nilipofika Dr akanitoa wasiwasi akisema inawezekana ikawa ni UTI basi nikachukuliwa vipimo ikaonesha Sina UTI ila sukari ilisomeka 28.1yule Dr akanihoji nimeendaje bila msaada kwa kuwango kile cha sukari!! Akanishauri nianze Mara moja kutumia dawa nikakataa,siku hiyo nilishinda na fikra kibao kichwani kwa jinsi ninavyoujua huu ugonjwa, kesho yake niliamkia kufanya mazoezi (jogging) nilikimbia umbali wa km 16 non stop nikarudi home nakuelekea hospital bila kula chochote wala kunywa maji,nikapima nikaambiwa sukari ipo 8 nikashukuru Mungu hadi Dr alishagaa, kumbuka tayari nilishaanza kukwepa baadhi ya vyakula hasa vyenya kabohaidreti nyingi,Jana nikapima tena huku nikiwa nimepata breakfast kidogo Sana nikapata 5.4 leo tena nimepima nimekuta 5.3 nashukuru Sana MUNGU niko vizuri ndg zangu epukeni mitindo ya maisha inayoweza kukusababishia diabetes mm nimeshituka mapema nitakuwa makini Sana kwani mm ni mpenzi mkubwa wa kula wali na masupu kila asubuhi hii ya supu ni sababu nakuwa hangover ya k vant asubuhi,muwe na usingizi mnono ahsanteni


Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom