Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,466
- 13,031
Huyo mtaalamu, mie kinanipiga chenga.
Nimekumbuka kile cha mwanafunzi wangu "plz madam may i borrow your permission" hapo anaomba msamaha. Haya mambo yanawenyewe bwana.
Hahah!, jamani mtoto, afadhali yake lakini anaonesha haogopi kuongea na kujifunza.