Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
You didn't expect this, nah? The struggle is realWow!, OMG!
Kumbe mnapitia haya pia?!!
You didn't expect this, nah? The struggle is realWow!, OMG!
Kumbe mnapitia haya pia?!!
Best how old are you? Maana sikuoni ukiwa na stress, sijui una mpango gani!!!Mbona wachumba wapo wengi tu humu mkuu au mdomo ni zito kabwe?
Mchango wangu umeutoa tayari, njoo pm tutatue hili tatizo la jamaa..![emoji125][emoji125]Sisi wanawake kuna muda ukomo wa kuzaa unafika nafikiri ndio maana tunakuwa hivyo pindi tufikishapo umri fulani.
Na kuhusu wanaume hawa bhana hata kama anaona umri umesonga stress zake haziwi kati kama za mwanamke.mwanaume hata akiwa na 50+ bado anauwezo wa kuzaa ila si mwanamke
Mfano halis ni Bw.Machache +Klyn=mapacha.
Kwa jicho la tatu naona kuna kalengo kako ndani ya huu uzi.
Ni kweli kabisa, haswa kwa anaetambua nini maana ya ndoa.Ndio maana nikasema we all get stressed, hasa katika utafutaji wa mwenza. Well, yawezekana kukawa na tofauti, lakini sote tunapitia stressed periods kutafuta mtu "sahihi".
Ujue sikujua kuwa kukaa home nako ni bonus? ??Hahahaaaaaa!!! Marufukuuuu, mie ndio mchapishaji.
Hahaha!, lakini wewe! 😀
[emoji28] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani nacheka kama chizi.
Yaani leo ndio nimesikia hii!! Hii bonus ngumu sana, hapana kwakweli.Ujue sikujua kuwa kukaa home nako ni bonus? ??
Best nimefikia umri wa kuoa tayari ila kwakweli stress za kuoa kwangu sidhani, mwezi wa 6 na huu wa 7 classmates wangu wamefululiza kuoa na kuolewa sana, imenifanya mpaka nami nianzekufikiria kuoa.Best how old are you? Maana sikuoni ukiwa na syress, sijui una mpango gani!!!
Yeah, it's a big bonus. Hii ni kweli kabisa, kuna watu hawataki kuoa wadada wakiojitegemea tayari, sijui kuna nini wanaogopa. Labda ile freedom waliyonayo inawaogopesha.Yaani leo ndio nimesikia hii!! Hii bonus ngumu sana, hapana kwakweli.
Inasemekana "eti" wadada saa yao inazunguka kuanzia miaka 22--28, baada ya hapo ni stress tupu, kwamba mwanamke akifika miaka 30 anakuwa 'desperate' hadi kufikia kukata tamaa ya kuolewa. Sijui kama ni kweli, wadada waje hapa waseme ukweli wa moyoni.
Best we bado mtoto, subiri subiri kidogo.Best nimefikia umri wa kuoa tayari ila kwakweli stress za kuoa kwangu sidhani, mwezi wa 6 na huu wa 7 classmates wangu wamefululiza kuoa na kuolewa sana, imenifanya mpaka nami nianzekufikiria kuoa.
hahhahahahahaahahah kweli mimi mdada anaepanga anaishi geto ashakuwa msela hata namuogopa naona bora mdada nimkute kwao na wanaume wengi wanaona bora amkute mdada kwao kuliko kukutana na hawa pridetors
Aisee, basi sawa.Yeah, it's a big bonus. Hii ni kweli kabisa, kuna watu hawataki kuoa wadada wakiojitegemea tayari, sijui kuna nini wanaogopa. Labda ile freedom waliyonayo inawaogopesha.
Maybe na kuwa na experience ya kuishi mwenyewe, uwezo wa kujihudumia bila kutegemea mtu. Yaani hatumbishwi.Yeah, it's a big bonus. Hii ni kweli kabisa, kuna watu hawataki kuoa wadada wakiojitegemea tayari, sijui kuna nini wanaogopa. Labda ile freedom waliyonayo inawaogopesha.
EMT, thanx kiongozi.Women who are DESPERATE to get married confess all | Daily Mail Online.
Hawa tena ni wa nchi ambazo wanawake wana uhuru zaidi kulinganisha na huku kwetu.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Wala best,Best we bado mtoto, subiri subiri kidogo.
Haha punguza vikwazo