Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Haha eti vikwazo vya uchumi lolTehe!, teh!, kwa kweli. Kumbe kuna watu wanaumia kuliko hata nchi zinazowekewa vikwazo vya kiuchumi.
Haha eti vikwazo vya uchumi lolTehe!, teh!, kwa kweli. Kumbe kuna watu wanaumia kuliko hata nchi zinazowekewa vikwazo vya kiuchumi.
Hahahaaaaa!!! Best yo something else, yaani nimecheka!!!Wala best,
Mimi sio mtoto, mi nitaoa yeyote. Best kwani nawe una stress za ndoa? Kama unazo mi sipendi nikuone katika hali hiyo ujue!
Kuoa sio Tatizo, Tatizo ku maintain ndoa yenyewe sasa [emoji1]It's a new day MMU family.
Kwa nini wanaume tunanifariji kuwa wadada pekee ndio wanakuwa na stress za kuolewa? Je, ni kweli kwamba vijana wa kiume hawakumbwi na wimbi la stress hasa wanapofikia "umri sahihi" wa kuoa?
Inasemekana "eti" wadada saa yao inazunguka kuanzia miaka 22--28, baada ya hapo ni stress tupu, kwamba mwanamke akifika miaka 30 anakuwa 'desperate' hadi kufikia kukata tamaa ya kuolewa. Sijui kama ni kweli, wadada waje hapa waseme ukweli wa moyoni
Kwa upande mwingine wa shilingi, hata wanaume wanakumbwa na hii kadhia, tena kwa kiwango kikubwa tu, sema sisi tuna koromeo mengi tunameza bila kusema. Sijui clock hasa kwa wanaume lakini binafsi nilipofika miaka 29 nilianza kuwaza mchumba, nikamuangalia niliyekuwa naye kipindi hicho nikaona nah, huyu hapana "I'm not marrying her", sababu nilizijua mwenyewe, lakini sasa mbona sioni wa kuoa? Ilinichukua mda sana, kuna vigezo vyangu (kama ilivyo kwa kila mtu, huwezi kujibebea tu) lakini nikawa sioni, mda unaenda, kichwa kinauma, sioni popote, sio kanisani, sio kazini, sio mtaani(naona tu wavaa vitait[emoji12] ), lakini mimi nilikuwa na experience ya online dating, hii habari tangu niianze 2007 sijataka kukutana na mtu kanisani tena, it's online and it's very interesting to meet someone online....
Sasa vidume wenzangu, hivi ni kweli hamna stress za kuoa, hasa wale 30+yrs? Imagine upo 35yrs huna hata girlfriend anayeeleweka, hivi hutakuwa na stress kweli, semeni ukweli tumuaibishe shetani leo[emoji12] [emoji1]
NB: Huu uzi ni kwa wale wanaoona umuhimu wa ndoa na wanatamani kuwa kwenye ndoa siku moja. Kumekuwa na tendency ya watu kudharau hii taasisi na kusema Ndoa sio muhimu, wale wanaoona sio muhimu, ni sawa tu na huu uzi utakuwa hauwahusu.
Good morning.
You didn't expect this, nah? The struggle is real
Umri mzuri kwa mwanamke kuzaa ni 25-35, wakati mwingine hadi 40 lakini kuna wanawake wamebarikiwa miili mizuri, wengine hata 50 anaenda labor tena sio CS, anajifungua kawaida tu.
Mfano wako wa mzee machache upo irrelevant, yule mzee ana watoto wakubwa, nadhani wengine ni wakubwa kwa K-Lyn, pale anapumzika na uzee wake, hizo ni rare cases. Kwa mtu anayetaka kuanzisha familia na kulea kw uzuri, huwezi kusema at 50yrs aanzishe familia, nah.
Hahaha Best kuandaana nini tena hapo, hayo mambo ya kuandaana ndo yanapelekea uchumba suguHahahaaaaa!!! Best yo something else, yaani nimecheka!!!
Sasa best utaoaje tu yeyote? Si inabidi umpate na muandaane!!
Ndio maana wewe sio mengi.hivi kwa pesa yote ile aliyo nayo mzee mengi si angetulia zake tu machame akae mbali na media attention and all the hard work, mm ningekuwa mengi hata kylln nisingemuoa, wala nsingetafta mtoto mwingine, wala nsingefanya kazi tena ningekaa machame mlimani nakula baridi na mtori taratiibu, cjui lkn labda mzee ana maana yake kufanya hivo Eli79 geniveros
Hahahaaaa!!! Usinichoke tafadhali.Fursa nyingine hiyo, nitakutag hadi mwisho wa dahari, nataka kuitwa uncle nimechoka sasa.
Kiongozi, unajua kitu kinaitwa "cuddling, massage, caress, care"? At his age, he needs those things more than anything else, in fact sex isn't a big deal for him, but THOSE...hivi kwa pesa yote ile aliyo nayo mzee mengi si angetulia zake tu machame akae mbali na media attention and all the hard work, mm ningekuwa mengi hata kylln nisingemuoa, wala nsingetafta mtoto mwingine, wala nsingefanya kazi tena ningekaa machame mlimani nakula baridi na mtori taratiibu, cjui lkn labda mzee ana maana yake kufanya hivo Eli79 geniveros
Pro j miaka 13, ay miaka 8[emoji134] [emoji134] [emoji134]Hahaha Best kuandaana nini tena hapo, hayo mambo ya kuandaana ndo yanapelekea uchumba sugu
Tatizo unachagua sana yawezekana unachagua halafu wewe mwenyewe una mapungufu jichunguze kwanza uone unashida gani hupati mwenza wakati kila siku watu wanalilia ndoa[emoji2] [emoji2]Naomben ushauri.. Sioni mwanamke wachaguo langu na nina 33yrs mpaka sasa.. Kila ninaye muangalia hana vigezo nimechoka nataka nizombe yeyote je mnaniambiaje wandugu??
Post sent using JamiiForums mobile app
Yaani sitosubiri kuchunguzana nahalalisha fasta....kama uyo Prof Jay katika hiyo miaka 13 alishawahi muacha uyo na wakarudiana tena hiyo yote inatokana na kuchunguzana/kuandaanaPro j miaka 13, ay miaka 8[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Watu na vipaji vyao.
Kwahiyo wewe best muda ukifika unajibebea tu!!!
Yani ni zaidi ya mioyo ya kupondekaPro j miaka 13, ay miaka 8[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Watu na vipaji vyao.
Kwahiyo wewe best muda ukifika unajibebea tu!!!
Haha ana PHD ya relationshipYa kwako imeshafika mitano?[emoji1] [emoji1] [emoji12]
Kuchunguzana miaka 13 daa mie siwezi 2yrs ikiisha hakuna cha maana tunabwagana sina muda wa kupoteza watu wenyewe mpo bongo hapa hapa hakuna aliye shule matokeo yake mkifunga ndoa tu ndiyo mnaanza tena kugomba na kuachanaYaani sitosubiri kuchunguzana nahalalisha fasta....kama uyo Prof Jay katika hiyo miaka 13 alishawahi muacha uyo na wakarudiana tena hiyo yote inatokana na kuchunguzana/kuandaana