Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,957
- 183,561
Duuuuh!!! Best ngoja nikusubiri nichukuepo kaexperience, yakikunyookea nami nahalalisha tu[emoji12] [emoji12]Yaani sitosubiri kuchunguzana nahalalisha fasta....kama uyo Prof Jay katika hiyo miaka 13 alishawahi muacha uyo na wakarudiana tena hiyo yote inatokana na kuchunguzana/kuandaana