Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,466
- 13,031
Sasa wadada hao ambao unasema wanajitambua wananyodo hao utasikia ooo kama unanipenda tusibiri mpaka ndoa ndio tufanye tabia mbaya unajuwa mdada akishaanza nipa mashart mapema najuwa hata ndan atanisumbua tu so namuepuka mapema sana wadad wengi wanahis kuwa na vikwazo vikwazo vya ajab ndio wataonekana wana misimamo kumbe mnaharibu
Kumbe tukiwawekea vikwazo mnachukia!