Stress za kuolewa/kuoa sio kwa wadada tu!

Stress za kuolewa/kuoa sio kwa wadada tu!

Yaani nikikaa nakuangalia watu wanavyoborongo kwenye kuoa nabaki kuwaogopa wanawake mnoo, acha muhenga nibaki baki asee
Mkuu, kwani umegota mingapi sasa?[emoji12]
 
Niulize kaswali kadogo kuhusu huko kunakoitwa 'kukata tamaa'. Let's say wewe ni graduate umezunguka na bahasha wee umechoka mwisho wa siku ukaona maisha hayapo kwenye kuajiriwa tu ukaamua kuweka vyeti pembeni na kufungua genge lako tuseme umekata tamaa? Hujakata tamaa ila umeangalia upande wa pili wa shilingi na kuona ili mtu uishi maisha mazuri si lazima uajiriwe ukalie lijiofisi hiloo....unaweza kuwa na maisha mazuri hata nje ya kuajiriwa. Wenye kunielewa wamenielewa
Ila ofisi ina raha yake muda wowote uduma inapatikana,alafu boss mmoja ukiwa na mabosi wengi utumwa hujui huyu anashiba saa ngapi hujui anatumia mkono gani kula msafi au sio msafi,Pia day works siyo ata ibada zipo za wafu bwana za gafla vipi sinavyo endeshwa haraka bila mipangilio,

Mtu upo kufunua ni ukurasa w 10 mwingine anaitimisha kw kusema amina.
Matokeo ya ibada yakitoka zile BARAKA hujui ni za nani,unaanza kusema labda ni j maombi yalidumu.

Pia heshima yako nyumba huheshimiwa kw kuwa na mwaume

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, kwani umegota mingapi sasa?[emoji12]

30.... yaani +++++ alafu kweli sijui naoa lini kama ni kaz powa nnayo ila mmm wadada hapana asee nazan ntaoa ila kwa zali nahis yuko somewhere mama watoto wangu ntakaemuoa na sijui tutakutana wapi na lini no stress no frustration no depression nimeona nireluxy niusome mchezo coz wengi wanaumbuka mpaka bas
 
Itakuja naturally tu, wala usihofu mkuu.
 
Asee, huu Uzi unafumbua mengi..
 
Muda utaongea ila kweli kuna muda ukifika akili inafanya kazi mara mbili, hasa kijana utakapokua na miaka above 30 na huna mchumba unayetegemea kuweka ndani

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Itakuja naturally tu, wala usihofu mkuu.

jamaa kuna vijana wengi wako mpaka 39yrs wanaamin kuna siku tu wataoa watu wanandoto mpaka bas mimi nikigonga 38yrs ntafanya maamuzi magum sana
 
jamaa kuna vijana wengi wako mpaka 39yrs wanaamin kuna siku tu wataoa watu wanandoto mpaka bas mimi nikigonga 38yrs ntafanya maamuzi magum sana
Mkuu, 39yrs sio vijana tena. Hao wanaitwa "watu wazima", umri wa makamo huo[emoji12] [emoji12]

Ujitahidi stress zisikufanye ukafanya maamuzi mabaya.
 
Kwanini wasema ivo ? kama umeupitia mtihan huu na uko na mume now alaf awe sio paua kichwa shukuru mungu wengi wa vijana wako ndoani kimeno meno mnoo

Ni kweli mkuu, hii taasisi sio ya ki spot spot.
Kwanza ukifikiria tu kisheria huyo mtu unatakiwa kuwa nae for the rest of your life, kufa na kuzikana, inahitaji kutuliza akili kabla ya kuamua chochote.
Na hii ni kwa pande zote mbili wake na waume.
 
Back
Top Bottom