Stress free zone

Stress free zone

hahahhaah klorokwini, nitabaki Ankal tu..hivi wapwa wangu unawajua kweli? basi hao hao.. Mwali, na Husninyo. Nipo katika kumbembeleza Hus arudi,,,nasikia we ndo Kibabu ulitaka ku do naye lol

Ankal fo ever
hehehe kama atakubali kurudi Husninyo basi nakuahidi kukupigia debe la umod, hako kamchumba tumekamiss kweli kule jukwaa la uchumi na matangazo madogomadogo. lol

Hicho kibab cha husninyo ni TANMO bana, amejifanya kuweka picha ya ka junior kumbe kijeba kinaishi kwa pensheni tangia alipong'atuka mwalim.
 
Last edited by a moderator:

Hahahaha subiri nifanye mambo..kumbe ni TANMO....ila klorokwini wewe noma...mmalizie basi Husninyo deni lake
 
JF arusha branch walivujisha habari za tanmo, arusha wasaliti bana. Bakhresa hakopi bana Kaizer, juzi tu nilimnunulia Cantalisia pafyum ya harufu ya zabibu imenicost dola elfu 2, aliniskitikia sana kwamba rejao amefilisika anamnunulia mafta ya nazi tu sku hizi.
 
Ngoja Cantalisia apite hapa....lol
 
Last edited by a moderator:
JF arusha branch walivujisha habari za tanmo, arusha wasaliti bana. Bakhresa hakopi bana Kaizer, juzi tu nilimnunulia Cantalisia pafyum ya harufu ya zabibu imenicost dola elfu 2, aliniskitikia sana kwamba rejao amefilisika anamnunulia mafta ya nazi tu sku hizi.
Hahahah hahha hahhah,
Haki ya nani vile loya klorokwini nia yako si njema kbs kwa ndoa yangu,
Yani kipafyum cha yolanda kinauzwaga dola elfu 2????
Mie nikajua ndio unatengeneza mazingira ya mm kumhimiza mme wangu akugee ule mkopo uloomuomba kumbe ndio umeuja kujitangaza huku!!!
Hata siamini jaman lol!ndio unajiita baresa!!!!
 
Rejao naskia wamembana jukwaa la siasa, sasa nazani leo hatohuzuria chit chat. Tukumbushie nini? nimekumiss
 
Last edited by a moderator:
Njoo tupate cha mchana mke wangu...
Achana na hawa wanga Cantalisia
Wow!here i am darling,
Thus why
images
my Rejao!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Dah! nilimwambia Kaizer hakuniskia akasema nimsibitishie kama mnapendana kweli. Nilifanya haya ili kumsibitshia kaizer tu mkuu rejao. Uskonde, sasa atakuwa shuhuda wa penzi lenu. Mimi Cantalisia ni dadangu kabsaa.

Dada Cantalisia mjomba kishtobe amekusalim sana.
Heee heee heee!
Nashukuru kwa taarifa kaka klorokwini
Penzi letu ni la ukweli na limejengwa kwenye misingi imara halifi kamwe bali hchipua kila sekunde hahahah hahah!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom