Stress free zone

Stress free zone

Nakumiss sana ma dia.. sweetlady
Upo kweli??
Nakumiss sana pia my dear Rejao, mie nipo sema sio kiviiiiiiile!!!! ....nipo huku kijijini nimekuja kuwasaidia kupalilia ili angalau msimu wa mavuno ukiwadia nisinyimwe chochote kitu lol...naimani wewe hujambo afu shangazi jana alikuulizia sana.
 
Last edited by a moderator:

hee..dah, wasalimu sana huko..mwambie aunt namletea kitenge kizuriii + mwali, mimi nitakuja huko wakati wa kuvuna...
 
Hehehehe ! ....sipati picha shangazi atakavyofurahia lol....anavyopenda vitenge!! huyo mwali hakikisha ni wa nyumbani manake akiwa 'chasaka' utajibeba nae....
 
kwa hilo usjali kabisa....ni wa kule kule....tena ni mtaalam sana wa kutengeneza machalari na ngararimu!!
 
Heeee...wanaotaka kujinyonga na wajinyonge!!
Much love ma darling!
:A S kiss::A S kiss::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:

Watakufa vinywa wazi na roho zao mbaya, sie kwa raha zetu tunapeana bila kujali watu! Teh teh teh jaman kupendwa raha lol!
 
Hehehehe ! ....sipati picha shangazi atakavyofurahia lol....anavyopenda vitenge!! huyo mwali hakikisha ni wa nyumbani manake akiwa 'chasaka' utajibeba nae....

Darling wifi sweetlady haya ni majungu au?yani mie miaka miwili huku UK ndio niwe chasaka jaman!
 
Last edited by a moderator:
kwa hilo usjali kabisa....ni wa kule kule....tena ni mtaalam sana wa kutengeneza machalari na ngararimu!!

Afu dinner leo tutakula machalari lol....kijijini raha Rejao yaani nyama sio za kuhesabiana kama huko mjini...njoo bana njoo....
 
Last edited by a moderator:
Afu dinner leo tutakula machalari lol....kijijini raha Rejao yaani nyama sio za kuhesabiana kama huko mjini...njoo bana njoo....
Unanitamanisha sweetlady.....naweza nikaja huko usiku huu...ukizingatia tena Air Tanzania wameshusha nauli zao...lol!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom