TANMO
Platinum Member
- Apr 12, 2008
- 12,210
- 13,048
Mamndenyi njoo tunywe Mbege Bana, halafu utoe maksi kama nimepatia kuitengeneza..
Mamndenyi njoo tunywe Mbege Bana, halafu utoe maksi kama nimepatia kuitengeneza..
Nafurahi kama umefanikiwa kuitengeneza,
weekend hii nimeamua kupumzika tu mahali
baada ya mastress, nitakucheck next week
kama vipi karibu wewe mahali hapa.
My dia Erotica wala sina wasi wasi kbs,nilikuwa na mkumbusha tu uwepo wako maana alitaka kumreplace Rejao wangu,Cantalisia kama unaleta pozi sababu unajua klorokwini yupo na Erotica futa was was.
sie ni open uhusiano. Rejao hajambo? mwambie nina bidhaa mpya apite ofisini kwangu.
Tobaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!! Lawyer klorokwini!!!!!! khaaaaa!!!!!!! jamani ndio nini kunifananisha na mtu mwenye matiti yote yale lol.....Tunaendelea. FirstLady1 = Bichau, Lizzy = mamaake marehem kanumba, @Aspirin ni madata lubigisa (lile nyanda veterani), sweetlady ni isha mashauzi.
Mie niandalie mpango wa tusavana tutapita hapo na mme wangu kukupa hi!
Hahaha hahha hahhaa,teh teh teh. kimeeleweka kabis. ila hujaona my klorokwini iz beta than my Rejao?
dunia yako chaguo lako! Chagua Klorokwini, chagu kilicho bora!
Cantalisia, subiri siku akikusaliti ndo utajua shubiri ya penzi.Hahaha hahha hahhaa,
My dia Erotica,kwa Rejao ndio nshakwama na sitaki kukwamuliwa lol!
Nadata na pua ile klorokwini hana teh teh teh!!
No one like my Rejao.
Tufanyie reservation hapo...nitakujoin na Cantalisia wangu...
Nipo poa kabisa Erotica..Cantalisia kama unaleta pozi sababu unajua klorokwini yupo na Erotica futa was was.
sie ni open uhusiano. Rejao hajambo? mwambie nina bidhaa mpya apite ofisini kwangu.
@Kaizer kuna mahali nimeona unantafuta ubaya...
Halafu umenifichia wife wangu nina kesi na wewe