Story: Ulitenda mema na kulipwa mabaya please share

Story: Ulitenda mema na kulipwa mabaya please share

Aisee na mungu huwa anajua kuwaadhibu haichukui mda.wanatiaga huruma wengine mpaka huja kuomba msaada tena.
Kimsingi huruma inatuponza sana wenye mioyo ya kusaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli, huyu kijana wangu tulimpa barua ajieleze utovu wa nidhamu alioufanya mimi nikiwa sipo ofisini, nilimuagiza supervisor wake ampe, napewa taarifa aliichana pale pale na kusema mimi naondoka naenda kwetu na boss si ameniroga mimi basi naenda kwetu ntamuonyesha hahahahahahaha.

Mimi nimemroga wakati yeye anajua benefits zangu siwezi hata mfikiria yeye. I get almost 10 times more of whatever he gets hahahaahhaha. Basi akaondoka.

One week later napigiwa simu kutoka kwao wakiniomba msamaha na wakimuombea mtoto wao. Ila unfortunately, that door is closed. Nimemlima block na juzi tu nahisi alinipigia. Anyways vijana tuwe makini kwa kweli
 
Haya majanga tunayo wengi sana,
Nilimfungulia mdogo angu wa tumbo moja biashara mtaji wa ml2, na nilimwambia yeye achague aina ya biashara na frem ilikua tayari, akanunua vitu km redio, tv, deki na vingi vya dizaini hizo, kwa kipindi hicho hiyo biashara ndio ilikua inaenea kwa kasi sana mitaani, tulikua tunauza sana kwa siku tunaenda mjini mara mbili, ndani ya mwaka mtaji ushafika ml10, nktamtafutia msaidizi huku mimi nikiendelea na mishe zangu,
Yaani baada ya mwaka duka limeisha enzi zile za deci washamla ml3 yake akisubiri kuvuna ndio ikafa, nilipata hasira nkalifunga akawa hana kazi mama analalamika namwachaje mdogo angu hivyo, kwa hasira nkampa kiduka kilikua uswazi ila mtaji tu vingine kama friji makreti na vingine aviache, mwisho wa siku na hilo kala kamaliza na ela ya mama laki 7 alimpa aongeze mtaji ikaishia hapo...

Baada ya miaka mi3 karudi kuomba msamaha baada ya kukosa kuuwawa akiwa anapokonywa bodaboda nkamsamehe nkamfungulia tena biashara iliyogharimu ml3.5 baada ya mwaka na nusu nilienda apo nikakuta imefungwa hadi leo sijui iliishia wapi...
Na majanga ya kumlelea watoto wake wa3 kaniachia.

Kipindi hicho nahangaika kutafuta ela mtaji mdogo jamaa yangu tunaishi karibu nkawa namuazima ela, kila laki1 baada ya mwezi nampa laki na kumi, nikichukua laki 3,4, 5 ni hivyohivyo, baada ya mambo yangu kua mazuri yeye ndio akawa ananiazima ela nkawa nampa tena bila riba yoyote baadae 1.6ml ilifia kwake hadi sa hivi hapokei simu yangu.

Kuna watu tumeumbwa kua daraja la wengine kufanikiwa ila hawajitambui hata kidogo mwisho wa siku chenga tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaumbwa kuwa daraja
Wewe mwenyewe umejigeuza daraja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huyu ni she au he.
Wallah maelezo juu yananichanganya sana mara he au she kwa post ya mwanzo.
Anyway we potezea tu wahitaji wengi humu wasikukatishe tamaa
Ni kweli, huyu kijana wangu tulimpa barua ajieleze utovu wa nidhamu alioufanya mimi nikiwa sipo ofisini, nilimuagiza supervisor wake ampe, napewa taarifa aliichana pale pale na kusema mimi naondoka naenda kwetu na boss si ameniroga mimi basi naenda kwetu ntamuonyesha hahahahahahaha.

Mimi nimemroga wakati yeye anajua benefits zangu siwezi hata mfikiria yeye. I get almost 10 times more of whatever he gets hahahaahhaha. Basi akaondoka.

One week later napigiwa simu kutoka kwao wakiniomba msamaha na wakimuombea mtoto wao. Ila unfortunately, that door is closed. Nimemlima block na juzi tu nahisi alinipigia. Anyways vijana tuwe makini kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kuandika bila kuweka viingereza vya kuchovya? Unaweza kuwa ujumbe mzuri lakini kiingereza chako cha kuchovya kinafanya baadhi ya watu wakinai.
 
Cresida,
Umenichekesha sana mkuu hapo unapomwambia anaekudai avute subra. Hahahaahahahahh

Ninaowadai JF itabidi munilipe fasta kabla hakijachafuka hahahahhahahahahahahaha

I am joking, my people do not worry one love. Wanajijua wenyewe
 
  • Thanks
Reactions: amu
Hoping hautojutia kukaa na 'mane money' kupiga story.
Hahahaaaa!!! Ngoja tuone. Huwa napenda kujifunza kwa waliofanikiwa. Huyu mane money hata mawazo yake yanaonesha ni mtu mwenye mawazo ya kichaga muda wote, haachi hata mia halali impite.
 
Mwenyewe unavyohangaika kusaka fursa mpaka kwenye makarasha upo ukute ggm wakiliipua unapewa dili usiku unakesha mnaenda kuchenjua sijui halafu mtu anakunaniliii.
Erasto jamani kwa nini
[emoji28][emoji28][emoji28]! Pole sana mm huku hayupo!hahhaa! Mie aliniambia oh nisaidie mmangu ni fukara sana msaidie afuge bloila...mwananke nikaingia mkopo kumpa mazake[emoji28]! Alinifanyia mchezo wa ajabu sana!shenz typ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FUTURE HUNTER,

Ukitaka kufanikiwa kwenye biashara usimweke msimaizi ambaye ni ndugu yako. Ni vizuri kutafuta mtu ambaye huna uhusiano naye wa kindugu na umlipe, hapo utafanikiwa sana. Nina uzoefu mkubwa wa kudhurumiwa na ndugu wa karibu kabisa kwenye biashara na mambo mengine yanayohusu pesa
 
Back
Top Bottom