nguluviyihuvye
Senior Member
- Oct 13, 2011
- 173
- 213
B: Mzee aliyefukuzwa na mama bonge kazini.
nabet anaemsumbua sio gigi ni mzee alietimuliwa kazi.


Tayar njoooKimyaaa Money Penny![]()
![]()
![]()
Njoo tayarNahisi Money Penny mtoto anapiga karate tumboni mbaka atulie![]()
![]()
Kafanyaje@Lara1

Ahahahaha nimecheeeka hapa hospital mpaka watu wamenishangaaGigi jamani ... Unakula kuku wa kienyeji na wa kisasa hatari sana aiseee
Hehhe utanifanyaje labda?!We mwanamke wewee dah! Ngoja ninyamaze ila iko siku Money Penny![]()
Uuuwi we nomaB: Mzee aliyefukuzwa na mama bonge kazini.
Ivo eeeMh!bila shaka ni Gigi maana anaonekana ana info nyingi sana katika hii story