Sasa mimi nilicho kifanya yeye si alitaka usd 250$ mimi nikamtumia fake 2000, kilichofanyika ni hiki.....
Kunajamaa yangu ambae pia sifahamiani nae ila tulikua tumeanza kuchat nae kama miaka miwili hivi iliyopita anaitwa duncan nae ni mnigeria ila yupo kikazi Dakar, nilimpanga nikamwambia ajifanye afisa wa westrn UNion, then tuta act kama hela imekwama ili yule dem atoe hongo ya kusidiwa tugawane, jamaa alichemsha ila kaniunganisha na mchizi wake mwengine, sasa huyo ndio mwisho wa matatizo.
mchezo ulikua simple, nikampigia yule dem simu kisha nikamwambia nimemtumia usd2000 akate vip ticket, ila pesa hiyo nimemtumia kupitia western union kwa njia ya magendo kupitia mtu ninaye fahamiana nae hapa dar, xo hata ikifika huko ataelekezwa afisa wa kuwasiliana nae ili aclaim hiyo cash.
Tulifanikiwa mwisho wa siku alipigiwa simu na afisa bandia wa huku tena kupitia landline kisha akaunganishwa na Mr njalu afisa bandia wa dakar,nasikia walikutana nje ya hoteli ya nyota 3 jamaa akamuingiza kwenye gari kisha akamwambia pesa zake zimefka ila asubili ndani ya siku 5 za kazi ndio amtolee kwasababu hazikupita kwenye system. Baadae wakawa wanawasiliana kwenye simu kisha jamaa akambadilishia mchezo akamwambia hizo pesa zime kwama hivyo yeye hataki kuhusika kwani zitamletea matatizo, kadem safari hii kakanipigia kenyewe kinipa mkasa mzima nakamwambia asubili niwasiliane na huyu jamaa yangu ambae ni afisa wa hapa dar. Next akapigiwa tena simu na afisa bandia wa dar akaambiwa ampe usd 200 yule afisa then kesho yake atatumiwa hizo pesa kwenye account yake. Nasikia siku hiyohiyo akamtafuta yule afisa wa Dakar ili ampe hiyo pesa jamaa nae akamwambia yupo bize sana hawezi kukutana nae ila atamtuma mtu akachukue, basi mchizi akamrifaa jamaa mwingine kwenda kuchukua hiyo pay this tyme kadada kalikuja na crew ya watu 3 ikiwemo na sura hii ya kwenye picha. Wakatoa hizo pesa japokuwa mimi niliambulia 65,000 tu za ktz. mpaka last week nimepokea mail ya mwisho ya huyo dada anatukana mpaka kisenegal. leo nimemtumia email ya kumtakia kheri ya sikukuu ya idi.