Story: Nilivyomtapeli tapeli wa Kisenegal mwaka 2009

Story: Nilivyomtapeli tapeli wa Kisenegal mwaka 2009

kuna mmoja aliniletea zi hivi akasema baba yake na ndugu zake waliuawa Zimbabwe wameuawa na Raisi Mugabe na yeye amekimbilia Senegal. akaniambia nimsaidie kuhamisha hela zake na mambo kama hayo. nikamwambia mimi ni supporter mzuri wa sera za Mugabe na kama nikipata nafasi ntamalizia vile ambavyo Mugabe alikua hajafanya including kuondoa roho yake yeye mwenyewe. akapote juu kwa juu
 
Ha ha ha ha ha ha haaa Nahisi tukio lamwisho kunichekesha siku ya leo ni kitendo cha kusoma hii msg

Mi nakwepa kwa njia zote kulipa kodi, yaani niendelee kuwachangia mihela ya kupeleka uswizi!!!?

NEHIIIIII !!!​

Wewe Hao marafiki zako uliokuwa unachat nao uliwaamini vip....coz sijawahi waamini mtu yeyote kutoka west africa
 
Hah... Nakumbuka natoka pugu sec kwenda internet cafe banana.... Nilidhani ilikuwa zali la mentari... Ila mwisho wa siku nikausoma mchezo...
 
Hahahaa nimekupenda bureee. Nafurahi sana tapeli akitapeliwa aisee. Nyambafu!
Sasa mimi nilicho kifanya yeye si alitaka usd 250$ mimi nikamtumia fake 2000, kilichofanyika ni hiki.....
Kunajamaa yangu ambae pia sifahamiani nae ila tulikua tumeanza kuchat nae kama miaka miwili hivi iliyopita anaitwa duncan nae ni mnigeria ila yupo kikazi Dakar, nilimpanga nikamwambia ajifanye afisa wa westrn UNion, then tuta act kama hela imekwama ili yule dem atoe hongo ya kusidiwa tugawane, jamaa alichemsha ila kaniunganisha na mchizi wake mwengine, sasa huyo ndio mwisho wa matatizo.

mchezo ulikua simple, nikampigia yule dem simu kisha nikamwambia nimemtumia usd2000 akate vip ticket, ila pesa hiyo nimemtumia kupitia western union kwa njia ya magendo kupitia mtu ninaye fahamiana nae hapa dar, xo hata ikifika huko ataelekezwa afisa wa kuwasiliana nae ili aclaim hiyo cash.
Tulifanikiwa mwisho wa siku alipigiwa simu na afisa bandia wa huku tena kupitia landline kisha akaunganishwa na Mr njalu afisa bandia wa dakar,nasikia walikutana nje ya hoteli ya nyota 3 jamaa akamuingiza kwenye gari kisha akamwambia pesa zake zimefka ila asubili ndani ya siku 5 za kazi ndio amtolee kwasababu hazikupita kwenye system. Baadae wakawa wanawasiliana kwenye simu kisha jamaa akambadilishia mchezo akamwambia hizo pesa zime kwama hivyo yeye hataki kuhusika kwani zitamletea matatizo, kadem safari hii kakanipigia kenyewe kinipa mkasa mzima nakamwambia asubili niwasiliane na huyu jamaa yangu ambae ni afisa wa hapa dar. Next akapigiwa tena simu na afisa bandia wa dar akaambiwa ampe usd 200 yule afisa then kesho yake atatumiwa hizo pesa kwenye account yake. Nasikia siku hiyohiyo akamtafuta yule afisa wa Dakar ili ampe hiyo pesa jamaa nae akamwambia yupo bize sana hawezi kukutana nae ila atamtuma mtu akachukue, basi mchizi akamrifaa jamaa mwingine kwenda kuchukua hiyo pay this tyme kadada kalikuja na crew ya watu 3 ikiwemo na sura hii ya kwenye picha. Wakatoa hizo pesa japokuwa mimi niliambulia 65,000 tu za ktz. mpaka last week nimepokea mail ya mwisho ya huyo dada anatukana mpaka kisenegal. leo nimemtumia email ya kumtakia kheri ya sikukuu ya idi.
 
Ha ha haaaa. Lazima kapumzike kutapeli kwanza kabla hakajaanza tn. Kalijua watu wote wajinga. Nimependa sana ulivoenda nacho mpk ukakitapeli. Shenzi zake
 
Dah!! Kweli akili kumkichwa, ukizubaa....Nimekukubali Mkuu..
 
Mi hadi leo wananitumia hizo mambo na nikikuzita full matusi hadi ya mama zao na hawanijibu tena.
 
kuna mmoja aliniletea zi hivi akasema baba yake na ndugu zake waliuawa Zimbabwe wameuawa na Raisi Mugabe na yeye amekimbilia Senegal. akaniambia nimsaidie kuhamisha hela zake na mambo kama hayo. nikamwambia mimi ni supporter mzuri wa sera za Mugabe na kama nikipata nafasi ntamalizia vile ambavyo Mugabe alikua hajafanya including kuondoa roho yake yeye mwenyewe. akapote juu kwa juu

thank you, oyooooo these godamn net piracers needs godamn replies like dis,,
 
Na utanunua sana vocha jiulize kama yeye ni mkimbizi na ana shida izo picha za maisha mazuri kazitoa wap
 
Hao ni matapeli wa kinigeria hapo hakuna mwanamke wote wanaoongea ni wanaume sema wanatumia laptop kuchange code za cm yaan unaweza kuta yupo Kenya n anakupa code number ya UK na inapatikana pale pale alipo. Nawajua sana na nilishafanya nao kaz za mitandaon
 
Back
Top Bottom