muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 16,173
- 15,529
Utapeli wa kitamboooo...





Mbona tushayazoea haya. Baadae atakuambia hapo Gerezani hawaruhusiwi kukaa na simu hivyo mawasiliano utumie kupitia mchungaji au Padri flani,hapo utakuwa unaongea na mwanaume badala ya huyo Jeniffer tapeli ambaye ni mwanaume, baadae atakuomba akaunti yako ili akuwekee pesa na hapo ndipo utaijua kachumbari ni mboga au kiugo.
Kama unafikiri watu wote kutojua jambo fulani ni ushamba basi washamba tunaoushangaa utapeli huu wa West Afrika na America ni wengi kwa hivyo lazima tudokezane. Wewe pia ni mshamba kwa kudhani kila usichokijua ni ushamba.Hivi taa za kuongozea magari mjini ni kitu cha kushangaza na kuhadithia? Jibu ni hapana. Ukifanya hivyo utaonekana ni mshamba na ndio umekuja mjini. Kwa kifupi hizi email watu wanazipata kila siku kiasi ambacho imeshakuwa ni kawaida!
Hao nlishakutana nao saana Mkuu.Hata mimi ninako kamoja kaitwa Duncan ila bado sijamalizana nako nasubili maujanja yako nifanye finishing!
Last time kalikuja kengine nikaenda nako mwisho nikakapotezea baada ya kuhisi jambo, basi kakahugi account yangu ya fb kakawa kanapost vitu vya ajabuajabu nikaifunga nikaachana nako.
Sasa malizia basi hii story yako nione huyu Duncan namalizanaje nae?
Kweli mkuu?Mleta thread kumbe alishatangulua mbele Za haki......R .I. P
Rest in peace mleta mada sasa hivi upo futi 6
Acha viroba vimepigwa marufukuAcha u.ngese nani hajui yupo futi 6??...have some respect to the deceased soul