Story: Nilivyomtapeli tapeli wa Kisenegal mwaka 2009

Story: Nilivyomtapeli tapeli wa Kisenegal mwaka 2009

Nikirudi nitascan nipost hapa karatasi za western Union nilizo pokelea mgao wangu wa 65,000/= kutoka Nigeria maana jamaa alipopiga dili alirudi nigeria ndio akanitumia mgao wangu

Tutaazia hapo...kukufuatilia.
 
Tupia na e mail hizo alizokuwa anakutukana.
Utakuwa umewahikufanya kazi karibu na crew za TANESCO au bandarini. Watu tunakwepa kusoma lugha chafu. Halafu hapa ukirusha lugha chafu unakula "BAN"
 
picha hizo hata mimi ninazo kalishanitumia kakiomba kanitumie hizo hela, nilimwambia hapo Senegal kuna yatima wengi, wagonjwa wote hao wanahitaji msaada kwahiyo akawape hao Mungu atambariki, pia nikamwambia aache uongo kufa kwa baba na mama siyo mwisho wa ukoo akawatafute ndugu wengine washirikiane katika maisha.
 
Kwenye huo mgao wa 65000 ulilipa kodi TRA??
 
ah dadeki...hiyo movie ilipaswa iingizwe kwanza HBO, ulicheza mkuu, walifikiri wao tuu ndo matapeli kumbe kuna tapeli lao la kibongo bwana Msamiati...lakini mkuu chochonde usituingize wabongo wenzako kwenye mchezo kama huu maana naamini inaonyesha unaelewa mbinu za kitapeli na atakaeingizwa kuchomoa mmh
Sasa mimi nilicho kifanya yeye si alitaka usd 250$ mimi nikamtumia fake 2000, kilichofanyika ni hiki.....
Kunajamaa yangu ambae pia sifahamiani nae ila tulikua tumeanza kuchat nae kama miaka miwili hivi iliyopita anaitwa duncan nae ni mnigeria ila yupo kikazi Dakar, nilimpanga nikamwambia ajifanye afisa wa westrn UNion, then tuta act kama hela imekwama ili yule dem atoe hongo ya kusidiwa tugawane, jamaa alichemsha ila kaniunganisha na mchizi wake mwengine, sasa huyo ndio mwisho wa matatizo.

mchezo ulikua simple, nikampigia yule dem simu kisha nikamwambia nimemtumia usd2000 akate vip ticket, ila pesa hiyo nimemtumia kupitia western union kwa njia ya magendo kupitia mtu ninaye fahamiana nae hapa dar, xo hata ikifika huko ataelekezwa afisa wa kuwasiliana nae ili aclaim hiyo cash.
Tulifanikiwa mwisho wa siku alipigiwa simu na afisa bandia wa huku tena kupitia landline kisha akaunganishwa na Mr njalu afisa bandia wa dakar,nasikia walikutana nje ya hoteli ya nyota 3 jamaa akamuingiza kwenye gari kisha akamwambia pesa zake zimefka ila asubili ndani ya siku 5 za kazi ndio amtolee kwasababu hazikupita kwenye system. Baadae wakawa wanawasiliana kwenye simu kisha jamaa akambadilishia mchezo akamwambia hizo pesa zime kwama hivyo yeye hataki kuhusika kwani zitamletea matatizo, kadem safari hii kakanipigia kenyewe kinipa mkasa mzima nakamwambia asubili niwasiliane na huyu jamaa yangu ambae ni afisa wa hapa dar. Next akapigiwa tena simu na afisa bandia wa dar akaambiwa ampe usd 200 yule afisa then kesho yake atatumiwa hizo pesa kwenye account yake. Nasikia siku hiyohiyo akamtafuta yule afisa wa Dakar ili ampe hiyo pesa jamaa nae akamwambia yupo bize sana hawezi kukutana nae ila atamtuma mtu akachukue, basi mchizi akamrifaa jamaa mwingine kwenda kuchukua hiyo pay this tyme kadada kalikuja na crew ya watu 3 ikiwemo na sura hii ya kwenye picha. Wakatoa hizo pesa japokuwa mimi niliambulia 65,000 tu za ktz. mpaka last week nimepokea mail ya mwisho ya huyo dada anatukana mpaka kisenegal. leo nimemtumia email ya kumtakia kheri ya sikukuu ya idi.
 
Last edited by a moderator:
mie hua nikipata matapeli wa hivo hua nageuka marehemu 2PAC nawashushia lyrics za HIT EM UP...majibu hua kimya!!
 
Nikirudi nitascan nipost hapa karatasi za western Union nilizo pokelea mgao wangu wa 65,000/= kutoka Nigeria maana jamaa alipopiga dili alirudi nigeria ndio akanitumia mgao wangu

Dogo umetisher.
 
Me nataman kusikia mtu akisema alishawah ku2ma pesa halaf wakaishia wap?

Sent from my BlackBerry
 
Kwenye huo mgao wa 65000 ulilipa kodi TRA??

Ha ha ha ha ha ha haaa Nahisi tukio lamwisho kunichekesha siku ya leo ni kitendo cha kusoma hii msg

Mi nakwepa kwa njia zote kulipa kodi, yaani niendelee kuwachangia mihela ya kupeleka uswizi!!!?

NEHIIIIII !!!​
 
Nikirudi nitascan nipost hapa karatasi za western Union nilizo pokelea mgao wangu wa 65,000/= kutoka Nigeria maana jamaa alipopiga dili alirudi nigeria ndio akanitumia mgao wangu

The only way is to scam the scammers.

[video=youtube_share;kjKjyMKj3n4]http://youtu.be/kjKjyMKj3n4[/video]
 
Yaani hii issue ilinitokea hata mimi in 2009 tulipofikia point nimpe account ya kudeposit pesa nika mpotezea
Ungempa account tupu;kuna jamaa yangu mmoja ilibakia milimita chache sana auvae mkenge
 
Nami nilipelekwa hadi hapo aliposema niweke 1,500$ za nauli aje Bongo...ndio ukawa mwisho!!alikuja kwa style inataka kufanana na hizo na pia wanazo style zingine pia!!wote wako senegal hao!

Style yao ni hiyohiyo
 
Hata fb wapo, kuna m1 alintumia anajiita wendy duke.
In my yahoo kuna mmoja anajiita rose laban
 
Wewe ni jembe,ngoja na mimi nimrespond mmoja mara alinitumia emails nikawa naringa ringa kumbe kuna kugain some thing ngoja nimfanyie hiyo njia yako mkuu,maana wemezidi kutuona wazembe.
 
Back
Top Bottom