lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,208
We umewajujaje au nawe ni ID yao?Eeee mbona wamoo wanajijibu wao wenyewe
We umewajujaje au nawe ni ID yao?Eeee mbona wamoo wanajijibu wao wenyewe
kiwanja ni cha kujenga mjengo wetu bana in near futurendio siwezi omba ela ya saluni mimi nimenyoa
ambaye ni Mokoyokuna watu aisee mimi jf namuamini tu mtu mmoja
masai dada hapa utapendeka hakuna usanii wa kimariooosiogopi ila si kwa kipindi hichi navyoanza kuingia penzini kwa makoyo
duuuuh jamiii ina marioo wengi now days
yaani mwanu,e akishaona una kazi ni tatizo ndo maana mi nasema huwezi kunipa ela basi stay away fromme maana najua in comin ays utaniomba
free p alafu unaombwa tena hela looooh kuna watu wana moyo
yaani mimi mvulana anaiambie tu nipunguzie vocha nipo sehem siwez kupata nitamuuliza maswali hatorudia
ila hili ni tatizo la kuingia kwenye uhusiano na mtu asiekua na muelekeo
My dear nimejitahidi kufuatilia mpaka l ended up being lost.
Hii kitu ya speculation siiwezi, sikuzaliwa mujini miye.
Ila story ina mafunzo, haijalishi kama ya kweli au ya kutunga.
Na kingine nilichojifunza kwa uzi huu, ni kuwa kuna a lot going on kwenye PMs, iwe mitongozo au umbea and l am too old for them both.
ahahajja haya bwana sasaniombe hela ya nini tenakiwanja ni cha kujenga mjengo wetu bana in near future
ambaye ni Mokoyo
masai dada hapa utapendeka hakuna usanii wa kimariooo
waza pia kinyume chakeMarioo wamekuwa mingi these days. Ukiona mwanamme anataka ndoa haraka haraka umchunguze sana, trust me u will find something unusual!
kiwanja ni cha kujenga mjengo wetu bana in near future
ambaye ni Mokoyo
masai dada hapa utapendeka hakuna usanii wa kimariooo
mapenzi upofu dear
Ndugu yangu bora UMERUDI! Yule mtu mzima hovyooooooo bado ana mambo yale yale! Sijui amalize TOPAZ ngapi ndo aache utoto! At the age i really feel sorry kwa mtu mzima! NILITAKA NIMCHA,BE WIMA WIMA HAPA LEO, NIKAMHURUMIA TU, UMRI ULE HATA KUJITETEA HAWEZI! Mxiuuuuuuuuu!An this is Verrosa Part 111 maana wahanga waverosa wamepata pakupumulia leo isnt it Mentor