Stori za simu za Wanawake vs Wanaume

Stori za simu za Wanawake vs Wanaume

Wengine huwa hawalipi dabo dabo, bali wanahamisha viungo tu vya mwili toka kwenye sehemu yake kwenda pengine... !! Emajini nyonyo zonahamishwa, moja inahamia kwenye komwe na nyingine kwenye ugoko..!!
Msamehe 😅😅 usifanye hivyo bro
 
Hahahah unasumbua sana kila siku post mpya
😆 Kumbe, shida nina furaha sana, ngoja nikipata huzuni nitaacha ku post😅

Nipe vigezo na masharti bro, kwa wiki ni ngapi zinatakiwa

🥕🐇
 
Tatizo Bantu Lady amenishirikisha anataka kukupa dawa, nikamshauri asicheze na wewe maana kule kwenu sifa ya kuishi ni lazima uwe mganga😆. Ngalikihinja

🥕🐇
Waganga nchi hii wanatoka sehemu tatu tu..!! Hata ukisoma matangazo ya waganga si unaona..!! Utasikia Mganga anatoka Sumbawanga, Kigoma au Tanga..!! Ukiona bango limeandikwa mganga anatoka Machame, sijui kishumundu au Songea etc..!! Kimbia, utatapeliwa..!! Eti mganga anatoka Musoma..!!
 
Kuzaliwa mara pekee ni kinga ya matatizo yote yanayoweza kukupeleka kwa mganga😅. Wazee wa kichuri

Sasa unaingia mkoa wa mara be strong 😅
Cc Bantu Lady and Ngalikihinja.

🥕🐇
 
Ramli chonganishi hizi dada😅😅

Mimi ananijua Mungu pekee maana hata Mimi sijijui😅
Mimi akili yangu inacharge kuliko kawaida. Nimeshajua yaani dah haya umenipata hapa. Ile ID yako nyingine nilikublock 😂😂😂😂😂😂💃💃💃💃
 
Mimi akili yangu inacharge kuliko kawaida. Nimeshajua yaani dah haya umenipata hapa. Ile ID yako nyingine nilikublock 😂😂😂😂😂😂💃💃💃💃
😅😅 Pole sana. Ni vizuri kuota. nakupa ruhusa itag hapa
Screenshot_20230516-113808_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom