mimisa
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,511
- 1,441
naunga mkono hoja..
Kwa kweli mnavyofanya siyo vizuri, mmetongozana huko, kimya kimya , sasa hivi mnakuja hapa kuumbuana, siyo vizuri, kama mwanamke/mwanaume umeona hafai baada ya kuonana basi kaa nalo moyoni lakini si kuja hapa kukosoana, siyo vizuri, mnakatisha tamaa wengine ambao wanatafuta. Na kusema kuwa wanawake wote wa online hawafai hata kwa short time siyo vizuri. wanaume Mungu aliwaumba akaweka vifuniko kwenye koo(koromeo) alikuwa na maana yake kuwa uvionavyo, na viingiavyo basi vinafungiwa humo ndani ya moyo, na si kuvitoa nje. Kama wewe mwanamke kaja hapa kukupondea hayo ni mapungufu yake. wewe ulitakiwa kusoma na kupotezea. UUNGWANA NI VITENDO, UKIPIGA KELELE WATU WATAKUDHARAU.Nafikiri utakuwa umenielewa Black Bat.