Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
bora mwaya, maana huku nna wasiwasi tunachati hadi na misukule
Kweli kabisa,humu kuna mengi aiseeee!
bora mwaya, maana huku nna wasiwasi tunachati hadi na misukule
Honestly naingiza timu bongo soon,unapatikan wapi?
alafu nye wanawake wacheni zenu...kidume kuomba picha must.ata weye pia sii unaweza kuomba picha....mnakata kwa sababu nyie ng'ong'ozo.....mwanamke yoyote mwenye kujiamini anatuma tuu picha yake.
O!ha ha ha!kumbe mnakutana humu?huwa unapatikana wapi na mimi nikuambie kama unatisha au no.:wink:
Mi sijasema unatafuta ila nimekuzimia tu,naomba unipokee tafadhali . .Lol!
Ndo mana yake.
Tena ananambia kbs, niko chumba namba fulani.
Mweeh!
Nikienda kukutana na baba yangu mdogo je?
Ai.....haya huku navunja vidole, kutafuna unyasi na kuchimba ardhi na dole gumba......Kwani wewe ndio mwenye mabasi ya City bus pale Dar es Salaam?
Black Bat vs Retired SisterHawa watoto wanaokuja kuomba urafiki hapa jf kama hajakupa picha take usikubali kukutana naye.. Juzijuzi hapa mtoto ni me m pm akakubali kwani aliweka mwenyewe tangazo kuwa anatafuta mtu.. Mtoto akasuggest tukutane steers.. Mimi wa temeke sjawahi fika hapo sema nkaona nijichanganye tu ila mtoto nkajua huyu mgeni wa hapa dsm kwani kuna viota vikali vipya kuliko hio steers ya long...
Basi wa temeke nikajichanganya jioni nikawahi. Kabisa ili akija anikute na simu yangu ikawa silence nkangooja ajekwanza ili nione mtu atakayenipogia nithaminishe kwanza kabla ya ku m face... Kikatokea kibonge mwanaume si mwanaume dume si dume .. Kikakaa kikatoa sim kupiga sim yangu ikaita . Mh sikupokea nikasepa nilipofika mitaa ya nssf nkajifanya kumpigia kumuuliza uko wapi ... Akaniambia usje umechelewa .. Nikasema bora.. Nikasepa zangu.. So guys watch out!!!!
Nikikutisha usinianzishie sred sawa?
Hiyo ni aina mpya ya simu au?Lol!
Aunt za wapi?Jana nilisikia eti kuna pedezhee moja linataka kukuhonga eropleni,ni kweli?Lol!
changia tupate uzoefu wako...btw Vin Diesel mzima..?no comments.