Stori ya kweli kuhusu wadada wa JF

Stori ya kweli kuhusu wadada wa JF

Status
Not open for further replies.
dont kiss and tell, utakosa utamu bure,mi najilia kimyakimya,nikimpenda mtu nanyakua kama mwewe,haijalishi
 
Hivi unaponipenda mtandaoni unakuwa unanioendea nini? Avater, michango yangu au imagination uliyojitengenezea?????

Hata mie huwa najiulizaga sana hili swali kwa watu wanaodondokaga pm looh!!
 
We Tuko siku hizi watu wanalima ki digitale lol.... Hivyo shurti uchague jembe
Ukiona mtu anachagua jembe bana huyo anaigiza... Mkulima umetoka kwenu kwenda kula, uzuri au ubaya wa jembe unatakiwa uufahamu ukiwa ushamaliza kulima zamaani.
 
Hawa watoto wanaokuja kuomba urafiki hapa jf kama hajakupa picha take usikubali kukutana naye.. Juzijuzi hapa mtoto ni me m pm akakubali kwani aliweka mwenyewe tangazo kuwa anatafuta mtu.. Mtoto akasuggest tukutane steers.. Mimi wa temeke sjawahi fika hapo sema nkaona nijichanganye tu ila mtoto nkajua huyu mgeni wa hapa dsm kwani kuna viota vikali vipya kuliko hio steers ya long...
Basi wa temeke nikajichanganya jioni nikawahi. Kabisa ili akija anikute na simu yangu ikawa silence nkangooja ajekwanza ili nione mtu atakayenipogia nithaminishe kwanza kabla ya ku m face... Kikatokea kibonge mwanaume si mwanaume dume si dume .. Kikakaa kikatoa sim kupiga sim yangu ikaita . Mh sikupokea nikasepa nilipofika mitaa ya nssf nkajifanya kumpigia kumuuliza uko wapi ... Akaniambia usje umechelewa .. Nikasema bora.. Nikasepa zangu.. So guys watch out!!!!

hahahaha kwahiyo hata hukupata uhakika kama ni Dume au jike
 
jamani mbona yeye kakuponda sana? na wewe unasema ye ni kidume,na yeye anasema bora ulichelewa kapata classmet na wewe unasema bora classmet kamchukua!nyie hata mngefanikiwa kuwa na mahusiano yasingedumu kabisaaaaaa!
 
Hawa watoto wanaokuja kuomba urafiki hapa jf kama hajakupa picha take usikubali kukutana naye.. Juzijuzi hapa mtoto ni me m pm akakubali kwani aliweka mwenyewe tangazo kuwa anatafuta mtu.. Mtoto akasuggest tukutane steers.. Mimi wa temeke sjawahi fika hapo sema nkaona nijichanganye tu ila mtoto nkajua huyu mgeni wa hapa dsm kwani kuna viota vikali vipya kuliko hio steers ya long...
Basi wa temeke nikajichanganya jioni nikawahi. Kabisa ili akija anikute na simu yangu ikawa silence nkangooja ajekwanza ili nione mtu atakayenipogia nithaminishe kwanza kabla ya ku m face... Kikatokea kibonge mwanaume si mwanaume dume si dume .. Kikakaa kikatoa sim kupiga sim yangu ikaita . Mh sikupokea nikasepa nilipofika mitaa ya nssf nkajifanya kumpigia kumuuliza uko wapi ... Akaniambia usje umechelewa .. Nikasema bora.. Nikasepa zangu.. So guys watch out!!!!
Jombaa usinambie ile thread alo dondosha mdada huku inayohusu steers ni wewe apoh kumbe alikua kidume duuhh..mbona kasema ulizingua na amempata jamaa sijui classmate wake..!!!
 
Staki kumchambua sana dada wa watu hapa.. Thread yangu imejitosheleza.
Nimekuuliza unaijua KFC mpya?

KFC ipo bongo duuuh ebanaaeee ndo yenyewe kweli ama maana hii inakimbizana na McDonald's daaah..nilipataga chance kuingia huko mbefele makuku yao c mchezo..kuku anavunjika unamla wote hana hata mifupi ipo kwa wapi hii jombaaa
 
Funny mnavyoishabikia KFC ... geez!!!, na steers??
Kijiwe changu ninachokizimia bongo ni Calabash ....
KFC na Steers, subway uuuurghh!!

Acha ushamba wako wewe hiyo calabash hata nje ya bongo haipo hiyo steers ni southern africa tu..inapatikana ni sawa sawa unadis starbucks..we wawapi jamaa..kfc levo za McDonald's, burger king..etc etc we vp??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom