Stori ya kweli kuhusu wadada wa JF

Stori ya kweli kuhusu wadada wa JF

Status
Not open for further replies.
Personally, sijaona ni kwa nini mleta mada kaamua kuleta hili suala humu JF.

Sielewi kwa nini a decent or a gentleman would do this. What for? Ili iweje?

Vipi kama hiyo siku angeibuka dada yake or his very close relative, angekuja kumwanzishia thread humu?

Probably, anadhani kufanya hivyo ni kujaribu kuelimisha umma wa JF, but this sounds to me as udaku at its very best.

Inapofikia stage mpaka wanaume nao wana-concentrate kwenye stories za udaku, habari nyepesi nyepesi, then jua the society is in demise.

Lakini ukifuatilia baadhi ya threads za nyuma za mleta he doesn't care about privacy or confidentiality.

Kama hii story ina ukweli wowote, it is pity that huyo mdada hakujishughulisha hata kusoma threads za nyuma za huyu jamaa ili ajue ni jinsi gani kila kitu kingekuja kuanikwa hapa hata kama hiyo appoitment ingefanikiwa.
EMT kila mtu amezaliwa ili awe yeye...nadhani umri wako utakuwa umesonga sana na ndio maana unaona kilichotokea hakina u gentle man wowote...nakushauri uhamie jukwaa la siasa ama la lugha...huku utaumiza kichwa chako bure..utapadwa na presha...hiki ni kizazi cha nyoka...hutaweza kufanya marekebisho yoyote...huyo unayemtetea sasa hivi anagegedwa na classmet...walikutana pale pale steers..tulizana mzee wetu utakufa siku si zako ..just leave us alone ..ila hukatazwi kuweka mchango wako hapa...
 
Last edited by a moderator:
Hapa ndo mnaanza kutafuta kajamba nani!!!!!???? lol,hapa kuna haja ya kumpa kaz Mtambuzi atambue avatar b4 hamja meet unasema hasomek hah naye kasema huelewek ,kwahyo ngoma dro ????? ngoja nawatafutia round ya pil lol?!!!!
round ya pili? haha samahani sana ...wewe hujaona sasa hivi classmet ndie anagegeda?
 
Umekosea sana dogo, ungempiga picha na simu yako halafu ungemuweka hapa!

Alitaka kuku cameroon au? :biggrin:
 
Mwanamke au mwanaume anaenda mitandaoni kumtafuta mwanaume/mwanamke jua kuna walakini. Kama uko mzima na unajiheshimu huwezi kukosa girlfriend/mchumba/mke!! Kuna yale makundi maalum kama wenzetu wenye maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU) kama wakija hapa kweli kutaka mwenzi nakubaliana nao kwa kuwa wanataka watu wanaofanana nao kihali. Kwa hiyo si rahisi kumfahamu mtu maana mwenye VVU hana lebo usoni. Kwa mantiki hii nisema ni wachache sana wako genuine kupitia mtandao kupata wenza!! Take care!!
 
round ya pili? haha samahani sana ...wewe hujaona sasa hivi classmet ndie anagegeda?

Wewee mara h kapata clasmate hapo kaka ulikuwa unaliwa jama sa hz anapiga 2 uchi,

Lakin inauma kupokonywa tonge mdom,plus v vocha lol???!!
 
usipende kuleta mzaha wewe mtoto wa juzi..sisi tupo JF kitambo na tunajua madhumuni ya kila jukwaaa na kila thread..sasa wewe unataka kukurupuka na kuleta vijimaneno vyak hapa havitakusaidia .. uwe makini sana kwenye kuchangia ,,..kama ni dada yako basi tusameheane..ila kila mtu ana uhuru wa kula ile kitu roho inapenda ..na nina uhakika wewe umeshafanya mambo ya kipuuzi mengi tu. ..mtu ambaye yupo serious kutafuta mume atampata ..sasa huyo adda yako kama alikuwa hana tamaa ya ngono kwa nini hakuwa mvumilivu? kwa nini aliamua kwenda kupigwa dudu na classmet? huyu dada yako born together unaumia nimemtosa sawa ila ..muulize kama sio nye.ge zake why aliamua kwenda na jamaa mwingine why asingevumilia hadi next time.
sometime uwe makini kabla ya ku erupt...

Kwa kukujibu tu black Cat, huyo dada wala simfahamu ila mimi ni mchangiaji kama wengine. Inawezekana nimejiunga juzi tu lakini huwezi jua nimefatilia JF kwa mda gani. Huyo dada ana makosa yake ila as a man you ought to behave respectably...I think u got my point.
 
Last edited by a moderator:
dah...sasa bro taarifa kama hivi inabidi tuwe tunaambiana mapema bwana .....kumbe ndio maana claasmet kajibebea dead ball kiulaiini sana. dah.

Classmate naona atakuwa veteran, loose ball itamlea lkn nna uhakika huyo retired sister atakuwa ameokota mme wa mtu hahaaa
 
Ahahahahaha kuna dada mmoja wa humu alikuja kunitembelea mitaa ya home;nikamtoa out kwenye grocery ya Mangi!Hadi tunaagana alikuwa amekunywa coca cola 7 tena zile za ML 500!Nililipa huku nashangaa kwa kweli;Iweje ndani ya masaa 3 tu rtuliyo kaa pale "sister duuh" amalize coca cola 7?

Hahahahahaha...... Duuuuuh.... Jf raha tupu lol
 
Kwa kukujibu tu black Cat, huyo dada wala simfahamu ila mimi ni mchangiaji kama wengine. Inawezekana nimejiunga juzi tu lakini huwezi jua nimefatilia JF kwa mda gani. Huyo dada ana makosa yake ila as a man you ought to behave respectably...I think u got my point.
nimekupata ndugu yangu.....
 
Bora hata huyo,mimi nilishakutana na mmoja yaani body lake mchina na kibini mjapan.Alikuwa na simu sijui hata ni aina gani jinsi ilivyochoka kaifunga na rubber band na baadhi ya button hazipo.Kitu cha kwanza tu akaomba nimnunulie simu,Wa aina hii acheni sounds

Kumbe vijana wengi mna ushuhuda hapa!
 
Kwani we sweetlady unamalizamga ngapi za ofa kama hzo jamaa alizsema maana nataka nikutoe ck moja
najipanga polepole,nambie mapema

Bahati nzuri mie yangu maji tu lol.....hayo unaweza hata kunichotea nyumbani then uje nayo Walas Ba
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom