Stori ya kweli kuhusu wadada wa JF

Stori ya kweli kuhusu wadada wa JF

Status
Not open for further replies.
Najua hukutaja jina, ila ulivyoandika mtu anaelewa kabisa unamkusudia nani, ukishaona msichana kakuomba pic yako lakini yeye kagoma kukupa yake ujue kuna tatizo, so unaweza ukakaa kimyaaaaaaaaa, atachoka kukutafuta then utakuwa unafanya yako.
sasa nani kakuambia kuwa ana kasoro? angekuwa na kasoro classmet angebeba?...
na umeona thread yake aliyoileta hapa..? sema bahati mbaya nimeiona yake baada ya kuleta yagu..but nisingeleta yangu..i do respect womens..beliv me
 
Black Bat umefanya kosa tena a man like u deserves strokes kama sio mikwaju, umepanga appointment na mtu, umechelewa sawa it's ok kutokana na foleni na hali ya usafiri jijini, si ungempigia simu uombe samahani asubiri kidogo?
Alafu unakuja na kuzuga, eti unaangalia yeye ni type gani, kwani kuonana lazima awe gf wako, it's a date and u must take it as a date, damn boy! Unafanya Love Connect kukosa maana sasa. Wapo watu serious na wanatafuta wenzi kwa njia ya mtandao ila watu kama wewe Black Bat mnaturudisha nyuma kwa hilo, think big brother.
sasa mapovu ya nini bro? kwana una uhakika na kila kinachoandikwa hapa JF?........
 
dah aisee kamanda umekosa mbeleko ya bure, hao retired sisters wanajua lea vibaya mno! Anajua akikupoteza wewe mpaka akamate mwingine miaka kadhaa, mzee ungekula shushu balaa huko kwenye sura ungevaa mask tu!
 
definetly wewe huishi bongo thats why..
i think kwenda kfc japo one time maishani is not a crime..wewe daily unakula ma junk food ndio maana unatuona sisi washamba?

What assumptions. Kwa vile nimeikandia KFC basi automatically siishi Bongo?

Umejuaje kuwa nakula junk food daily?

Right now, I am having a spinach for lunch. Is this a junk food?

Mtu ambaye anaishi bongo huwa hali junk food eh?

Au wale wote wanaoishi nje ya Bongo including Msumbiji wanakula junk food daily?

What is junk food anyway? How you define a junk food?

Samaki wa kwenye maboksi kutoka mabwawa South, samaki wa magogoni?

Au ni wale kuku wanaokuzwa fasta kwa kupewa ile naniii? Chipsi mayai?

Au ni nyama ya mnyama ambaye hakuchinjwa na mtu wa dini yako? lol
 
sasa mapovu ya nini bro? kwana una uhakika na kila kinachoandikwa hapa JF?........

Sio mapovu ndugu, ila kila sehemu ina maana yake, sidhani MMU & Love Connect ni sehemu ya utani. Kuna watu wanakuja humu very serious kutafuta, na evidence zipo, kwa nini unataka kuiharibu maana ya Love Connect? Umeonesha weakness mkuu, kwanza mmetakana huko in private, alafu unakuja kuanika kila kitu huku, what's done in private remains to be private..sio kuja hapa kumtangaza dada wa watu....next time utachapwa..teh!
 
Personally, sijaona ni kwa nini mleta mada kaamua kuleta hili suala humu JF.

Sielewi kwa nini a decent or a gentleman would do this. What for? Ili iweje?

Vipi kama hiyo siku angeibuka dada yake or his very close relative, angekuja kumwanzishia thread humu?

Probably, anadhani kufanya hivyo ni kujaribu kuelimisha umma wa JF, but this sounds to me as udaku at its very best.

Inapofikia stage mpaka wanaume nao wana-concentrate kwenye stories za udaku, habari nyepesi nyepesi, then jua the society is in demise.

Lakini ukifuatilia baadhi ya threads za nyuma za mleta he doesn't care about privacy or confidentiality.

Kama hii story ina ukweli wowote, it is pity that huyo mdada hakujishughulisha hata kusoma threads za nyuma za huyu jamaa ili ajue ni jinsi gani kila kitu kingekuja kuanikwa hapa hata kama hiyo appoitment ingefanikiwa.
 
Ina maanaa ubaya wa sura ni crime?
Sie tusio na sura tufanyeje? Plastic sajare?

Huu ni unyanyapaa kwa uumbaji, bora ungechuna tu sababu hakukukosea adabu ila hukuipenda sure yake.

Lakini kingine, kusema wadada wa jf, ina maana hapa hakuna wadada wakali kwa sura?

Akyanani sie vizee tunabaguliwa, nimeumizwa sana na hii sred.

pole sana! Lakini ni mtazamo binafsi wala si wote waliofurahishwa na hii thread , hao ni vijana na wala si vijana wote, usiruhusu mtazamo wa m2 binafsi ukusononeshe.
 
Ina maanaa ubaya wa sura ni crime?
Sie tusio na sura tufanyeje? Plastic sajare?

Huu ni unyanyapaa kwa uumbaji, bora ungechuna tu sababu hakukukosea adabu ila hukuipenda sure yake.

Lakini kingine, kusema wadada wa jf, ina maana hapa hakuna wadada wakali kwa sura?

Akyanani sie vizee tunabaguliwa, nimeumizwa sana na hii sred.

Pole mkuu mwenzangu.
 
Personally, sijaona ni kwa nini mleta mada kaamua kuleta hili suala humu JF.

Sielewi kwa nini a decent or a gentleman would do this. What for? Ili iweje?

Vipi kama hiyo siku angeibuka dada yake or his very close relative, angekuja kumwanzishia thread humu?

Probably, anadhani kufanya hivyo ni kujaribu kuelimisha umma wa JF, but this sounds to me as udaku at its very best.

Inapofikia stage mpaka wanaume nao wana-concentrate kwenye stories za udaku, habari nyepesi nyepesi, then jua the society is in demise.

Lakini ukifuatilia baadhi ya threads za nyuma za mleta he doesn't care about privacy or confidentiality.

Kama hii story ina ukweli wowote, it is pity that huyo mdada hakujishughulisha hata kusoma threads za nyuma za huyu jaama ili ajue ni jinsi gani kila kitu kingekuja kuanikwa hapa hata kama hiyo appoitment ingefanikiwa.

At least unashare yale niliyofikiria...niungane na wewe kudhani kuwa hii si story ya kweli. Mambo ya udaku tuwaachie wenyewe. Big up EMT
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
dah aisee kamanda umekosa mbeleko ya bure, hao retired sisters wanajua lea vibaya mno! Anajua akikupoteza wewe mpaka akamate mwingine miaka kadhaa, mzee ungekula shushu balaa huko kwenye sura ungevaa mask tu!
dah...sasa bro taarifa kama hivi inabidi tuwe tunaambiana mapema bwana .....kumbe ndio maana claasmet kajibebea dead ball kiulaiini sana. dah.
 
Sio mapovu ndugu, ila kila sehemu ina maana yake, sidhani MMU & Love Connect ni sehemu ya utani. Kuna watu wanakuja humu very serious kutafuta, na evidence zipo, kwa nini unataka kuiharibu maana ya Love Connect? Umeonesha weakness mkuu, kwanza mmetakana huko in private, alafu unakuja kuanika kila kitu huku, what's done in private remains to be private..sio kuja hapa kumtangaza dada wa watu....next time utachapwa..teh!
usipende kuleta mzaha wewe mtoto wa juzi..sisi tupo JF kitambo na tunajua madhumuni ya kila jukwaaa na kila thread..sasa wewe unataka kukurupuka na kuleta vijimaneno vyak hapa havitakusaidia .. uwe makini sana kwenye kuchangia ,,..kama ni dada yako basi tusameheane..ila kila mtu ana uhuru wa kula ile kitu roho inapenda ..na nina uhakika wewe umeshafanya mambo ya kipuuzi mengi tu. ..mtu ambaye yupo serious kutafuta mume atampata ..sasa huyo adda yako kama alikuwa hana tamaa ya ngono kwa nini hakuwa mvumilivu? kwa nini aliamua kwenda kupigwa dudu na classmet? huyu dada yako born together unaumia nimemtosa sawa ila ..muulize kama sio nye.ge zake why aliamua kwenda na jamaa mwingine why asingevumilia hadi next time.
sometime uwe makini kabla ya ku erupt...
 
Hapa ndo mnaanza kutafuta kajamba nani!!!!!???? lol,hapa kuna haja ya kumpa kaz Mtambuzi atambue avatar b4 hamja meet unasema hasomek hah naye kasema huelewek ,kwahyo ngoma dro ????? ngoja nawatafutia round ya pil lol?!!!!
 
Last edited by a moderator:
Bora hata huyo,mimi nilishakutana na mmoja yaani body lake mchina na kibini mjapan.Alikuwa na simu sijui hata ni aina gani jinsi ilivyochoka kaifunga na rubber band na baadhi ya button hazipo.Kitu cha kwanza tu akaomba nimnunulie simu,Wa aina hii acheni sounds

Ha ha ha ha.... Teh teh teh teh..... Mbavu zangu mie lolest
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom