Now you are talking, chonde chonde nakuomba usiwe mchoyo kama Retired Sister umesikia ayanda? sasa unakula Life na nani jamani si ndo haya mambo nayo kataa ya uchoyo
nakula life na mtu special bana, uchoyo muhimu wangu. yaani we upewe tu kila ukiomba!Thubutuuuuuuu