Stori ya kweli kuhusu wadada wa JF

Stori ya kweli kuhusu wadada wa JF

Status
Not open for further replies.
Hivi unaponipenda mtandaoni unakuwa unanioendea nini? Avater, michango yangu au imagination uliyojitengenezea?????
 
Haha hao ndo men wa jf wakitoswa wanatoa maneno ya kashfa galz watch out kuna m1 alinipa no yake eti nimcal nilipompotezea akaniita kahaba so hopeless unampaje kahaba namba yako kama nawe siyo mteja wa makahaba?
Alisahau kuandika wewe si kahaba, kwani makahaba ukiwapa namba watakupigia chapu chapu. Kwa vile hukuwa kahaba ndo maana uliipotezea.
 
Na ndio sababu sipenda wala sitaki kukutana na mtu yyt mana sitaki kero kuja anzishiwa thread oh mzuri or mbaya wengi huku wasichana na wanaume hamna akili kabisa

Halafuu; wadada wa Jf wameumbwa tofauti na wa maofisini??????
 
Mlivyotuponda yatosha, nasema yatosha jamani basi...
 
539838_502068879858289_1731730633_n.jpg
 
eheee wewe kijana hebu nieleze nipoje wacha longolongo.kina kuuma kunikosa eeh! habari ndo iyo nipo mapenzini sasa
 
eheee wewe kijana hebu nieleze nipoje wacha longolongo.kina kuuma kunikosa eeh! habari ndo iyo nipo mapenzini sasa

huyo kijana ndio aliyekuweka mapenzi kama hukuwa na miadi naye ungempataje classmate........ ngoja :shut-mouth:
 
sijui kwa nini mnapenda kudhalilishana kiasi hiki? ina sikitisha sana! hivi mnafikiri humu kuna malaika? kwa nini mnafikia stage ya kuanzishiana thread? hii ina saidia nini kwa watu walio pevuka?
 
Lakini don't judge her kwa sababu anaongea sana. Women like to talk. They like to be listen to.

Mwanamke wa kawaida anaweza kuongea maneno 20,000 kwa siku wakati mwanaume ni maneno 7,000 tuu.

Unless kwenye date na kwa sababu anazozijua mwenyewe, mwanaume anataka aongee zaidi ya mwanamke, let her talk as much as she wants and listen as much as she wants.

Mwanamke hataki mwanaume wa kuongea nae, bali wa kumsikiliza.

Akitaka wa kuzungumza nae, tayari anao mashoga zake. Au snowhite unasemaje?
yani wewe!
cha tu! Mwali nisamehepo tu!
naomba lifti!
 
Last edited by a moderator:
eheee wewe kijana hebu nieleze nipoje wacha longolongo.kina kuuma kunikosa eeh! habari ndo iyo nipo mapenzini sasa

Sasa unanisuta nini? Ina maana huna hata kumbukumbu ya mwanaume aliyeku pm mkapanga mkutane steers? Kama umesahau si uangalie hata inbox yako?
Tukizana dada
Sent from i phone 4s
 
Ahahahahaha kuna dada mmoja wa humu alikuja kunitembelea mitaa ya home;nikamtoa out kwenye grocery ya Mangi!Hadi tunaagana alikuwa amekunywa coca cola 7 tena zile za ML 500!Nililipa huku nashangaa kwa kweli;Iweje ndani ya masaa 3 tu rtuliyo kaa pale "sister duuh" amalize coca cola 7?

khaaa, wallah mna kazi kubwa sana na hizo kutana zenu, khaa hahaha mdada anajinywea tu hajui mwenzie anamsanifu, ndio tarumbeta za kila siku humu kwamba sijui uanzishwe umoja wa wanawake sijui nini na nini, sasa hapa hakuna cha mwanamke wala mwanaume full tabia za kike kike, ndio mana wengine tunakaa kando mana hatuwezi kuvumilia kashfa, hahahaha endeleeni kutuburudisha!
 
MLIVOKUWA MNATONGOZANA MLIMWAMBIA NANI banaaaaaa!!
MSITUCHOSHE NA UPUUUZI WENU!
kwani mlitegemea tuje kuwashikia miguu????
hebu mtupishe!
 
Sasa unanisuta nini? Ina maana huna hata kumbukumbu ya mwanaume aliyeku pm mkapanga mkutane steers? Kama umesahau si uangalie hata inbox yako?
Tukizana dada
Sent from i phone 4s

nyie watu hebu mkue jamani, mambo gani haya kuleteana humu? mna matatizo gani lakini, au utoto? mkutane/tongozane huko mje mlipuane humu, sio fresh kabisa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom