John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,343
Mods walivyoweka jukwaa la love connect ni wajinga?!Kuna watu wameoana na wana watoto via JF
sasa wewe mnene hapo...mtoto portable kabisa ..wewe hujaona heavyweight dada yangu. ila nsamehe kama thread imekuudhinina kilo 117, na height 163 cm ssssssshhhhhhhhhhiiiiiiiiiiiiiiiiiiii usimwambie mtu:wink:
mh mie ni muongeaji tena sanaaaaaaaaaa tu
kama hutaki kusikiliza sepa, ah staha staha, ya nini kuigiza what u are not?
kama wewe huongei, inabidi mie niongee. kama hupendi sepa
AH AM TOO OLD FOR THIS
Kumbe?? huo ni mtazamo wako...tuko tofauti.
Jestinanina kilo 117, na height 163 cm ssssssshhhhhhhhhhiiiiiiiiiiiiiiiiiiii usimwambie mtu:wink:
sweetlady which is better? Kuficha who you really are halafu baadae uje kutemwa au kuonyesha mapema who you really are ili kama ni kutemwa utemwe hapo hapo?
I think the earlier you show your true colours the better. Nionyeshe personality yako mapema ili niweze ku-make an informed decision about you.
Wengine hatuangalii your beauty, but your personality. Don't hide your personally kwa kutegemea uzuri wako.
hahahaha alikuita Guest ya chobingo duh angekupa kibano cha haja, hata wanawake nanyi wasanii sana mi juzi hapa nimetongoza kabla ya yote nikapigwa mzinga vocha nikatuma baadae akaniomba nauli aende Tanga bibi yake amefariki anataka aaangalau atulize machungu apande RATCO dah mizinga juu ya mizinga hapo hata kiuno hajaniruhusu niguse.
I'm listening...
How old are you?
Kwakweli tupo tofauti.
mi napenda nikutane na mtu from no where, i hate kupangiana ratiba na muda na mtu nisiyemjua then eti ndo nijilazimishe kumkubali.
anyway, if it works for others then good for them.
Labda uko nje ya ile age group..ndo maana, otherwise you'd have done the same.
soma thread vizuri...sio mwanaumeHahahahahah!kumbe Retired Sister ni wa kiume? Bora hamkuonana, angeliliaje 0713????????.Nilijua tu thread hii @''Wanaume wa huku muache mapozi"" italeta uzi mwingine.
Dearest one...uchokodhi huo
Najua sio mwanaume ila ni wa kiume(yaani hana mvuto)soma thread vizuri...sio mwanaume
Hawa watoto wanaokuja kuomba urafiki hapa jf kama hajakupa picha take usikubali kukutana naye.. Juzijuzi hapa mtoto ni me m pm akakubali kwani aliweka mwenyewe tangazo kuwa anatafuta mtu.. Mtoto akasuggest tukutane steers.. Mimi wa temeke sjawahi fika hapo sema nkaona nijichanganye tu ila mtoto nkajua huyu mgeni wa hapa dsm kwani kuna viota vikali vipya kuliko hio steers ya long...
Basi wa temeke nikajichanganya jioni nikawahi. Kabisa ili akija anikute na simu yangu ikawa silence nkangooja ajekwanza ili nione mtu atakayenipogia nithaminishe kwanza kabla ya ku m face... Kikatokea kibonge mwanaume si mwanaume dume si dume .. Kikakaa kikatoa sim kupiga sim yangu ikaita . Mh sikupokea nikasepa nilipofika mitaa ya nssf nkajifanya kumpigia kumuuliza uko wapi ... Akaniambia usje umechelewa .. Nikasema bora.. Nikasepa zangu.. So guys watch out!!!!
Hivi nyie wakulima wa wapi mnachagua majembe?Bora hata huyo,mimi nilishakutana na mmoja yaani body lake mchina na kibini mjapan.Alikuwa na simu sijui hata ni aina gani jinsi ilivyochoka kaifunga na rubber band na baadhi ya button hazipo.Kitu cha kwanza tu akaomba nimnunulie simu,Wa aina hii acheni sounds