Stori ya kweli kuhusu wadada wa JF

Stori ya kweli kuhusu wadada wa JF

Status
Not open for further replies.
mh i like it mtu akiniambia he is listening, maana maneno yote huniisha then najikuta nimerudi kwenye nafasi yangu ya kuwa female. ha ha ha ha anyway, ongea wewe mi nimeishiwa kabisaaaaaaaa cha kusema.

unataka kujua umri wa nini jamani? ofkoz am old jamani.

niko na 30

miaka 30 bado mdogo.
 
Ndo mana nikasema baadhi yao.
Huoni hata mtoa mada kasema alijibanza sehemu ili amuone reception kwanza.
Humu Jf sina hamu nako,
Mchumba wangu nitampata Mwakasege akija,lakini Jf, wasanii wa kumwaga.

Duh Madame B. ..... Kumbe kwa Mwakasege kuna mengi he he he..... Wengine mnajazana kutafuta wachumba sikulijua hili
 
Last edited by a moderator:
Ongea vyenye maana ! Kuna mtu aliwahi kunisimlia kuwa aliwahi kukutana na mdada muongeaji na anajua kila kitu yani akigusa siasa mdada anaporomoka na kuanza kuwataja wanasiasa, wake zao, watoto wao, mahausi girl wao mpaka na nyumba ndogo zao lol..... Yani anasema alichoka akawa anatamani kumtoroka!

Mhm, huyo sasa shida. kwenye date mnaongelea mahausigeli wa watu?
 
mi she bana tena ninayejitambua vilivyo

i dont waste my time eti nijifanye what am not hata siku moja.

anyway, labda sababu i feel complete maana sitafuti mwanaume wala eti mchumba sijui boyfriend. Nimeshapita that stage like 10 years ago.

nakula life tu, hayo mambo ya dating nimeshasahau mpenzi.

Now you are talking, chonde chonde nakuomba usiwe mchoyo kama Retired Sister umesikia ayanda? sasa unakula Life na nani jamani si ndo haya mambo nayo kataa ya uchoyo
 
Last edited by a moderator:
Hawa watoto wanaokuja kuomba urafiki hapa jf kama hajakupa picha take usikubali kukutana naye.. Juzijuzi hapa mtoto ni me m pm akakubali kwani aliweka mwenyewe tangazo kuwa anatafuta mtu.. Mtoto akasuggest tukutane steers.. Mimi wa temeke sjawahi fika hapo sema nkaona nijichanganye tu ila mtoto nkajua huyu mgeni wa hapa dsm kwani kuna viota vikali vipya kuliko hio steers ya long...
Basi wa temeke nikajichanganya jioni nikawahi. Kabisa ili akija anikute na simu yangu ikawa silence nkangooja ajekwanza ili nione mtu atakayenipogia nithaminishe kwanza kabla ya ku m face... Kikatokea kibonge mwanaume si mwanaume dume si dume .. Kikakaa kikatoa sim kupiga sim yangu ikaita . Mh sikupokea nikasepa nilipofika mitaa ya nssf nkajifanya kumpigia kumuuliza uko wapi ... Akaniambia usje umechelewa .. Nikasema bora.. Nikasepa zangu.. So guys watch out!!!!

Mkuu ina maana alikuwa gay au alikuwa tu mwanamke ambaye vionjo vyake sio unavyotaka?.
 
Hawa watoto wanaokuja kuomba urafiki hapa jf kama hajakupa picha take usikubali kukutana naye.. Juzijuzi hapa mtoto ni me m pm akakubali kwani aliweka mwenyewe tangazo kuwa anatafuta mtu.. Mtoto akasuggest tukutane steers.. Mimi wa temeke sjawahi fika hapo sema nkaona nijichanganye tu ila mtoto nkajua huyu mgeni wa hapa dsm kwani kuna viota vikali vipya kuliko hio steers ya long...
Basi wa temeke nikajichanganya jioni nikawahi. Kabisa ili akija anikute na simu yangu ikawa silence nkangooja ajekwanza ili nione mtu atakayenipogia nithaminishe kwanza kabla ya ku m face... Kikatokea kibonge mwanaume si mwanaume dume si dume .. Kikakaa kikatoa sim kupiga sim yangu ikaita . Mh sikupokea nikasepa nilipofika mitaa ya nssf nkajifanya kumpigia kumuuliza uko wapi ... Akaniambia usje umechelewa .. Nikasema bora.. Nikasepa zangu.. So guys watch out!!!!

Mkuu mbona umetugeuzia juu chini/chini juu! hii thread ililetwa jana hapa.
 
EMT,

Inakuwakuwaje leo umeweka kambi huku wewe si wa GT na Siasa? :biggrin:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom