EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,356
EMT,
Nategemea ataongea zaidi ila lazima binti awe na break , ile hali ya kujistukia iwepo wanaita staha.
Sio mtu unamuangalia umemkodolea anaongea tu nonstop.
Kama ningetaka wa kumsikiliza tu si ningeenda kwenye ki date na RADIO yangu.
Hahahaha. Inakubidi uazime sikio la tatu siku ya date.