Stori ya kweli kuhusu wadada wa JF

Stori ya kweli kuhusu wadada wa JF

Status
Not open for further replies.
Haha hao ndo men wa jf wakitoswa wanatoa maneno ya kashfa galz watch out kuna m1 alinipa no yake eti nimcal nilipompotezea akaniita kahaba so hopeless unampaje kahaba namba yako kama nawe siyo mteja wa makahaba?

Eeh mboba makibwa nikiwe hebu mbona tunaumbuana tena huku lol
 
Last edited by a moderator:
Ile story ya "Mdada Mstaafu" nilijua tu itakuwa na PART II...
Kama ni muvi basi hili ni la Kihindi, steringi kauawa kaibuka steringi mwingine...
Mkuu ulitakiwa uwe makini, jaribu kutofautisha kati ya watu desperate na wasio desperate...
Mtu tokea ajiunge JF, threads zake zote ni kuomba uchumba tu...khaaa!!!

BTW:
Sheria za JF huwa zinakataza kudisclose tukio lolote binafsi hapa jamvini.
Mkuu kwa kuwa umetambuwa kuwa hukuona ile thread ya awali, basi mPM Moderator au Invisible aondoe hii kitu yako
 
Siwezi kufanya hivyo ila iliniuma sana bt its fine miye sio mtu wa malumbano

Kabla ya kukueleza vile, kuna maneno ulimtamkia...hivyo usilalamike sana kwani reputation yako yajulikana hapa jamvini kulingana na vile unaandika hata ka sio halisi
 
Retired Sister njoo huku uone..!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Ile story ya "Mdada Mstaafu" nilijua tu itakuwa na PART II...
Kama ni muvi basi hili ni la Kihindi, steringi kauawa kaibuka steringi mwingine...
Mkuu ulitakiwa uwe makini, jaribu kutofautisha kati ya watu desperate na wasio desperate...
Mtu tokea ajiunge JF, threads zake zote ni kuomba uchumba tu...khaaa!!!

BTW:
Sheria za JF huwa zinakataza kudisclose tukio lolote binafsi hapa jamvini.
Mkuu kwa kuwa umetambuwa kuwa hukuona ile thread ya awali, basi mPM Moderator au Invisible aondoe hii kitu yako

Huyo mwanamke amedoda
 
Classmate kachukua loose ball, vp uliona halipi? Mvuto hana? Wengine kama hana mvuto utakuta nyuma kajazia balaa huyo vp?
Bora hata huyo,mimi nilishakutana na mmoja yaani body lake mchina na kibini mjapan.Alikuwa na simu sijui hata ni aina gani jinsi ilivyochoka kaifunga na rubber band na baadhi ya button hazipo.Kitu cha kwanza tu akaomba nimnunulie simu,Wa aina hii acheni sounds
 
Haa ha, hebu tuache tupate pa kupotezea muda, wengine leo hatujatokea kibaruani.

Ile story ya "Mdada Mstaafu" nilijua tu itakuwa na PART II...
Kama ni muvi basi hili ni la Kihindi, steringi kauawa kaibuka steringi mwingine...
Mkuu ulitakiwa uwe makini, jaribu kutofautisha kati ya watu desperate na wasio desperate...
Mtu tokea ajiunge JF, threads zake zote ni kuomba uchumba tu...khaaa!!!

BTW:
Sheria za JF huwa zinakataza kudisclose tukio lolote binafsi hapa jamvini.
Mkuu kwa kuwa umetambuwa kuwa hukuona ile thread ya awali, basi mPM Moderator au Invisible aondoe hii kitu yako
 
Bora hata huyo,mimi nilishakutana na mmoja yaani body lake mchina na kibini mjapan.Alikuwa na simu sijui hata ni aina gani jinsi ilivyochoka kaifunga na rubber band na baadhi ya button hazipo.Kitu cha kwanza tu akaomba nimnunulie simu,Wa aina hii acheni sounds

Ungemkamatia mchina aitwae TECNO ili awe anaperuzi hadi JF we unajilia mzigo taratiiibu.
 
Bora hata huyo,mimi nilishakutana na mmoja yaani body lake mchina na kibini mjapan.Alikuwa na simu sijui hata ni aina gani jinsi ilivyochoka kaifunga na rubber band na baadhi ya button hazipo.Kitu cha kwanza tu akaomba nimnunulie simu,Wa aina hii acheni sounds

Ndo mana sitaki mchumba wa Jf.
Wewe ulitaka nije na Verossa?
Nipende na umaskini wangu, utajiri tutaupata tukiwa ndoani.
Dizaini hii ya wanaume ndio mnatukatisha tamaa ya kwenda Love Connect kusaka wenza.
 
Steers unafikiri ningetumia kiasi gani bana hadi niogope .. Kuna KFC so good imefungulia mwenge unaijua?
Kwanza ningemnunulia kahawa apandwe na manyege tu basi.. Anyway .. Hii ndio dawa ya wasiotaka kutuma picha zao kabla..... Bora classmet amechukua dead ball

Mie nilishakoma na online friendship. Kuna demu nilikutana naye, nilichokutana nacho sintakaa nikisahau. Ilikuwa ni full mikosi na mabalaa. Tangu siku hiyo, nimeconclude kuwa ukikuta demu anatokea online kutafuta mwenza, basi ujue kuwa hafai hata kwa matumizi ya short time.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom