Stori ya kweli kuhusu wadada wa JF

Stori ya kweli kuhusu wadada wa JF

Status
Not open for further replies.
Mie nilishakoma na online friendship. Kuna demu nilikutana naye, nilichokutana nacho sintakaa nikisahau. Ilikuwa ni full mikosi na mabalaa. Tangu siku hiyo, nimeconclude kuwa ukikuta demu anatokea online kutafuta mwenza, basi ujue kuwa hafai hata kwa matumizi ya short time.

wera wera
na ukikuta dume eti linasaka demu kwenye mtandao ujue ni lipumbavu tu
 
Teh teh teh teh
Umepatikana, ukisema cha nini wenzako wanasema watakipata lini. Haya unajifanya kumponda mdada wa watu kumbe sifa zote anazo, yuleeee yuko na classmate mwenzake. Umeumbuka mzee mzima, confidence hauna ndio maana ukaja na gia eti yuko kama dume maneno kibaoooo!
Jipange utaishia kubwabwaja wenzako wanapata wapenzi wa ukweli humuhumu JF.

Daaaah

Umeandika kwa hisia utadhani huyo mdada aliyesemwa na Black Bat......!
 
Last edited by a moderator:
Mwengine unakuta binti amekuja wewe hujafungua hata mdomo ameshaongea maneno mia tatu.

Lakini don't judge her kwa sababu anaongea sana. Women like to talk. They like to be listen to.

Mwanamke wa kawaida anaweza kuongea maneno 20,000 kwa siku wakati mwanaume ni maneno 7,000 tuu.

Unless kwenye date na kwa sababu anazozijua mwenyewe, mwanaume anataka aongee zaidi ya mwanamke, let her talk as much as she wants and listen as much as she wants.

Mwanamke hataki mwanaume wa kuongea nae, bali wa kumsikiliza.

Akitaka wa kuzungumza nae, tayari anao mashoga zake. Au snowhite unasemaje?
 
Lakini don't judge her kwa sababu anaongea sana. Women like to talk. They like to be listen to.

Mwanamke wa kawaida anaweza kuongea maneno 20,000 kwa siku wakati mwanaume ni maneno 7,000 tuu.

Unless kwenye date mwanaume anataka aongezee zaidi ya mwanamke, let her talk as much as she wants.

Mwanamke hataki mwanaume wa kuongea nae, bali wa kumsikiliza.

Akitaka wa kuzungumza nae, tayari anao mashoga zake.

EMT,

Nategemea ataongea zaidi ila lazima binti awe na break , ile hali ya kujistukia iwepo wanaita staha.

Sio mtu unamuangalia umemkodolea anaongea tu nonstop.

Kama ningetaka wa kumsikiliza tu si ningeenda kwenye ki date na RADIO yangu.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Ndo mana nikasema baadhi yao.
Huoni hata mtoa mada kasema alijibanza sehemu ili amuone reception kwanza.
Humu Jf sina hamu nako,
Mchumba wangu nitampata Mwakasege akija,lakini Jf, wasanii wa kumwaga.

ina maana kuna watu wanatafuta wachumba hapa JF?

aisee
 
Teh teh teh teh
Umepatikana, ukisema cha nini wenzako wanasema watakipata lini. Haya unajifanya kumponda mdada wa watu kumbe sifa zote anazo, yuleeee yuko na classmate mwenzake. Umeumbuka mzee mzima, confidence hauna ndio maana ukaja na gia eti yuko kama dume maneno kibaoooo!
Jipange utaishia kubwabwaja wenzako wanapata wapenzi wa ukweli humuhumu JF.

Nami najipanga kuja kwako mama twende Steers ukale baga ukiwa munene unapewa kipaumbele
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom