Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,364
- 108,510
Dearest one...uchokodhi huo
Hawa watoto wanaokuja kuomba urafiki hapa jf kama hajakupa picha take usikubali kukutana naye.. Juzijuzi hapa mtoto ni me m pm akakubali kwani aliweka mwenyewe tangazo kuwa anatafuta mtu.. Mtoto akasuggest tukutane steers.. Mimi wa temeke sjawahi fika hapo sema nkaona nijichanganye tu ila mtoto nkajua huyu mgeni wa hapa dsm kwani kuna viota vikali vipya kuliko hio steers ya long...
Basi wa temeke nikajichanganya jioni nikawahi. Kabisa ili akija anikute na simu yangu ikawa silence nkangooja ajekwanza ili nione mtu atakayenipogia nithaminishe kwanza kabla ya ku m face... Kikatokea kibonge mwanaume si mwanaume dume si dume .. Kikakaa kikatoa sim kupiga sim yangu ikaita . Mh sikupokea nikasepa nilipofika mitaa ya nssf nkajifanya kumpigia kumuuliza uko wapi ... Akaniambia usje umechelewa .. Nikasema bora.. Nikasepa zangu.. So guys watch out!!!!
Kwani kuna kfc ya zamani? Kweli wewe wa temeke hahahaha.
Shughuki shughulini!
Kongosho dont take too seriousIna maanaa ubaya wa sura ni crime?
Sie tusio na sura tufanyeje? Plastic sajare?
Huu ni unyanyapaa kwa uumbaji, bora ungechuna tu sababu hakukukosea adabu ila hukuipenda sure yake.
Lakini kingine, kusema wadada wa jf, ina maana hapa hakuna wadada wakali kwa sura?
Akyanani sie vizee tunabaguliwa, nimeumizwa sana na hii sred.
Dah!! Nimepata fundishoMie nilishakoma na online friendship. Kuna demu nilikutana naye, nilichokutana nacho sintakaa nikisahau. Ilikuwa ni full mikosi na mabalaa. Tangu siku hiyo, nimeconclude kuwa ukikuta demu anatokea online kutafuta mwenza, basi ujue kuwa hafai hata kwa matumizi ya short time.
Kongosho dont take too serious
Uwe na amani, siko serious kivile.
kumbe ndo wewe uliyekuwa na mapozi ukachelewa steers kitu akajiiwahia classmate duh! Haya bana ndo mabo ya JF
Kwani kumsaidia mtu lazima umlale/umgegede? Angemwonea huruma waTZ tunatofautiana kwa kipato.
Ndipo hapo ninapokinzana na Ally,
na hata nyie wanaume wa humu jf mna tabia hiyo.
Mnataka mwanamke awe na shepu au sura nzuri, wakati Mungu alimnyima.
Ila ukweli anaujua Black Bat
:A S-heart-2: sasa hapo huyo mbaya atagegedwa na nani jamani? Binafsi mi huwa siangalii sura kwakweli Mungu analitambua hilo
Haa ha, hebu tuache tupate pa kupotezea muda, wengine leo hatujatokea kibaruani.
Ndo mana nikasema baadhi yao.
Huoni hata mtoa mada kasema alijibanza sehemu ili amuone reception kwanza.
Humu Jf sina hamu nako,
Mchumba wangu nitampata Mwakasege akija,lakini Jf, wasanii wa kumwaga.