Stori ya kijasusi - HEKAHEKA!

Stori ya kijasusi - HEKAHEKA!

Asante sana bishop ila kwa nini asiseme yeye uholanzi anafanya kazi sehemu fulani na ana familia yake watesaji wachunguze kuanzia hapo. Akisema mimi sifahamu tu haiaminiki. Au wampe ruhusa ampigie simu mamaake amuulize kama walizaliwa mapacha
Tatizo ushahidi wa kimazingira unawafanya wasimwamini kila anachokiongea, nadhani na yeye kachanganyikiwa ameshindwa hata kukumbuka jambo hilo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom