Stori gani uliwahi kusimuliwa kuhusu mchezaji wa mpira kumbe 'kamba'?

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,115
Kuna stori niliwahi kuambiwa na jamaa mmoja kuwa Bekham alikuwa anafanya mazoezi hata siku mbili mfululizo bila kupumzika akiwa nyumbani.

Kipindi hicho nilikuwa mdogo nikamuamini ila sasa nimekuwa nimemfata kumwambia yule jamaa achukue kamba yake sifungiki tena.
 
Ezekiel Malango akitangaza mechi ya Simba vs Zamalek, Joseph Kaniki Gorota kumbakumba anasogeza maji pembeni anaweka mpira na kuupiga"
 
Kulikuwa na story mchezaji fulani wa brasil anapiga penalt usawa wa kipa na lazima kipa akwepe maama shuti ni kali sana asipokwepa anaingia nao wavuni.... Nimemsahau jina ila ni no 6
 
Timu ya taifa ya China ilibadilisha kikosi chote mpaka kipa wakati wa mapumziko

Golikipa wa Colombia anadaka mpira Kwa miguu

Robto Kalosi mashuti yake mabeki wanakwepa sababu makali Sana

Fegurson Bigi Jii yake huwa haiishi utamu ni maalum tu Kwa Ajili yake anatengenezewa yeye tu

🤣🤣🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom