STOP BARRICK GOLD CAMPAIGN - Wabunge Simameni!

Nashauri kuwa wote wawasiliane na wabunge wao popote pale walipo kuhakikisha kuwa wanakuwa na msimamo na kuwakatalia hawa jamaa .

Ntajitahidi kuweka namba za simu za wabunge wote na majimbo yao ili kesho tuanzie huku JF kuhakikisha kuwa tunakwamisha mpango huu wa kuendelea kumaliza madini yetu.

Nitawapa yaliyojiri zaidi na hata usiku huu atakutana na wabunge hotelini kwake kwa ajili ya kuendeleza mkakati huo ambao umefanyika sasa kwa wiki nzima huko Dodoma .

mimi kwetu hakuna madini,na bunge wetu tunamuona wakati wa kuomba kula,sasa sijui bandugu mtanisaidia je kwa hili
 
Mungu wangu hawa wazungu kweli wanatufanya majuha? kweli sasa wamewafuata hata wale tuliowatuma tukiamini kwamba watatusaidia? Ole wake yule atakayetusaliti. Huyo tutakula naye sahani moja. Kuanzia jf hadi jimboni kwake.
Mungu ibariki na kuilinda Tanzania dhidi ya mafisadi na wezi wa kizazi hiki wa rasilimali zetu.
 
Nadhani cha muhimu ni kutafuta ways to move forward than kumtafuta wa kumlaumu.

Darasa la Lobbying mlishawapa wananchi?

Ama mnasubiri member wa jf wawaambie.

Maana naona toka nipost ile class session basi kuna wimbi la mafisadi kujisafisha kwa kujidai kusema eti upinzani nao waka lobby..We ngoja itakapokuja kufikia wa wabunge hao kuyatangaza maslahi yao kwenye makampuni yote ndio utajuwa kuwa nani anamtumikia nani.

Na ninaona kuwa sasa hili neno litageuka kuwa msamiati mkubwa sana hapo bongo.

Lakini mafisadi hawajui kitawageuka...Kwani ni wazi kwamba wali ivunja katiba yetu.

Hivyo basi naomba darasa la lobbying lilioletwa hapa jf...Lielekezwe kwa wananchi ili wananchi wawajuwe kabisa hao wenye manufaa na makampuni hayo yasiyozingatia mapendekezo ya wananchi!

Sasa mapendekezo ya kamati ya madini wanapolo hawakuojiwa?
Ni wazi kabisa kuwa mapendekezo ya kamati ya madini ni ya kupiganiwa na wananchi!
Na wananchi wakiweka msimamo..Basi watapata chao.
 
Darasa la Lobbying mlishawapa wananchi?

Ama mnasubiri member wa jf wawaambie.

Maana naona toka nipost ile class session basi kuna wimbi la mafisadi kujisafisha kwa kujidai kusema eti upinzani nao waka lobby..We ngoja itakapokuja kufikia wa wabunge hao kuyatangaza maslahi yao kwenye makampuni yote ndio utajuwa kuwa nani anamtumikia nani.

Lakini hawajui kitawageuka!
Hivyo basi naomba darasa la lobbying lilioletwa hapa jf...Lielekezwe kwa wananchi ili wananchi wawajuwe kabisa hao wenye manaufaa na makampuni hayo yasiyozingatia mapendekezo ya wananchi!

Sasa mapendekezo a kamati ya madini wanapolo hawakuojiwa?

Kina nani hao?
 
Barrick wamelobby serikali ya Canada iwasaidie kulinda maslahi ya biashara zao. Makampuni ya Tanzania nayo yanyaweza kufanya the same mfano IPP inaweza kulobby serikali ya Tanzania ilinde maslahi ya biashara zake abroad.
Kwa hiyo tatizo sio serikali pake yake, initiative inaweza kuwa ya serikali, kampuni au hata shirika lisilo la kiserikali.

Ndugu yangu,
Tuache kudanganyana. IPP itakuwa na biashara gani abroad wakati koka kola ni kampuni ya Wamarekani? Ni balozi gani anayemtumikia Kikwete atatumwa kwenda kwenye bunge la nchi ya kigeni kulobby maslahi ya biashara ya Tanzania? Tuna biashara gani nje? Moto wote lazima uelekezwe bungeni sasa hivi kulinda maslahi ya maliasili zetu. Tusidanganyane na haya ya Tanzania kulobby mabunge ya nje ni kupoteza wakati na fedha( kama zipo) bure.
 
Nafikiri wazo la kuanza kuwapigia wabunge wetu simu tusilizarau wapo wanaoweza sikia, pia kama tunaweza kuwashauri makampuni au vyama kulobby tuanze hivyo, sina uhakika tuna watch dogs kama vyama kiasi gani Tz na vipi. Pia kama kuna uwezekano wa wafanyabiashara wakubwa kama akina mengi na wengine kulobby may be tuanze nao. hivi hakuna uwezekano wa kupeleka issue kama hizi CNN au MSNBC na hivi kikwete anakuja marekani mwezi wa nane wampashe?
 
Nafikiri wazo la kuanza kuwapigia wabunge wetu simu tusilizarau wapo wanaoweza sikia, pia kama tunaweza kuwashauri makampuni au vyama kulobby tuanze hivyo, sina uhakika tuna watch dogs kama vyama kiasi gani Tz na vipi. Pia kama kuna uwezekano wa wafanyabiashara wakubwa kama akina mengi na wengine kulobby may be tuanze nao. hivi hakuna uwezekano wa kupeleka issue kama hizi CNN au MSNBC na hivi kikwete anakuja marekani mwezi wa nane wampashe?

gm,
CNN au MSNBC hawatafanya chochote kwa sababu mwenye kufaidika ni mzungu wa nchi za magharibi. Ingekuwa Kikwete amewatimua "wawekezaji" wa madini hapo ndipo CNN na MSNBC wangemtafuta kwa udi na uvumba. Hivi sasa watamsifia tu jinsi anavyodumisha demokrasia na kuunda mazingara mazuri kwa uwekezaji. Full stop.
 
gm,
CNN au MSNBC hawatafanya chochote kwa sababu mwenye kufaidika ni mzungu wa nchi za magharibi. Ingekuwa Kikwete amewatimua "wawekezaji" wa madini hapo ndipo CNN na MSNBC wangemtafuta kwa udi na uvumba. Hivi sasa watamsifia tu jinsi anavyodumisha demokrasia na kuunda mazingara mazuri kwa uwekezaji. Full stop.

Jasusi,

Du hii ngoma inakuwa ngumu inaonekana itabidi tutumie resource za bongo sasa!
 
Mpaka kieleweke,

Kwanini tusikubali yaishe tu??unadhani tutabadilisha chochote..?Kama waliweza kumnyamazisha mama Kilango kwa mkwara Mzito wewe unazani hili tutaweza.

Mie naona tuwazirie nchi,Ndiyo sie wajinga..waache waendelee

Impossible is nothing. Tutaweza. Ni lazima tutie pressure, yeyote mwenye namba za wabunge aziweke hapa niwafafanulie.
 
Bei za commodities zinaongezeka kwa kasi sana kwenye sko la dunia, je Tanzania tunafaidia?
 
Jasusi,

Du hii ngoma inakuwa ngumu inaonekana itabidi tutumie resource za bongo sasa!

gm,
Ndio maana kuna umuhimu wa kuelekeza nguvu zetu kwa wabunge wetu. Hawa ni kama kikosi cha mstari wa mbele wa kulinda maslahi yetu. Sasa kama hawa wakirubuniwa na lobbying ya balozi wa Canada na henchmen wao basi ni kama tumekwisha.
 
Mzee Slaa na Zito si wapo humu ndani?

Tuwaombe wasije wakakubali kuburuzwa huko bungeni kwenye hili swala la Madini. Unajua swala la madini tunaliangalia kwa upeo mdogo sana, tusifikirie tu madini ya huko Shinyanga, tukumbuke na Madini ya almasi na tanzanite tulionayo, tukifanya makosa hapa tutakua tumepoteza moja kwa moja urithi wetu.

Huyo Balozi analoby manake at the end of the day wakati tutakua tumeachiwa mashimo matupu yeye atakua anapunga upepo na familia yake huko Canada.

hao World bank wasituingilie na internal affairs zetu, unafikiri wanajua hata Nzega ni wapi? wao wataishia kujadili mambo kwenye makaratasi na kutupa statistics tu wakati wananchi wa nzega na Buzwagi wanateseka kwa kunyang'anywa Ardhi yao.
 
Hili jambo nadhani hatutaweza kulizuia kirahisi kutokana na mfumo wenyewe tulio nao; vigogo wetu wakishakatiwa kitu tu, basi jambo limepita. Tunachohitajika kufanya kwa sasa ni kuwaumbua vigogo hawa na mabwana zao wa Baricl na serikali ya Canada kwa juma kwa kupiga kelele sana hadi wapiga kura wetu wasikie (kama wana masikio ya kusikia).
 
Bei za commodities zinaongezeka kwa kasi sana kwenye sko la dunia, je Tanzania tunafaidia?

Hilo litategemea sana wabunge wetu ngoja tujikumbushe kidogo ya Barrick huko nyuma....na je kulitokewa kitu chochote?


NEW STATESMAN
Mark Thomas

Published 27 May 2002

.........Bush Sr is on the board of Barrick Mining, a Canadian company that now finds itself embroiled in a row over allegations of a massacre (by another company) in Tanzania. These allegations have been brought to light mainly by the work of the Lawyers' Environmental Action Team in Tanzania and team members like Tundu Lissu. They have fought not only Barrick but the World Bank and their government to try to find out exactly what happened in a place called Bulyanhulu.

In 1996, Sutton Resources Ltd was the Canadian parent company to Kahama Mining Corporation Ltd, which purportedly owned the gold mine. It claimed the mining rights to an area south of Lake Victoria called Bulyanhulu. This puzzled tens of thousands of local inhabitants, as the area had not only been mined by local people since the mid-1970s, but, in accordance with Tanzanian law, it had been set aside by the government specifically for artisanal (self-employed) miners.

Bulyanhulu's miners won an injunction forbidding forced eviction in August 1996. What followed is in dispute. Some miners returned to the pits and occupied them. Sutton says that, in an effort to stop the mines being occupied, company bulldozers started to push earth into the pits to seal them. It is an action that union leaders, inhabitants and lawyers say resulted in more than 50 men being buried alive. Sutton denies this.

The public outcry in Tanzania was followed in 1999 by Barrick buying Kahama and the mine. Barrick, though nobody accuses it of being directly involved, also denies that there was a massacre, as does the World Bank, which backed the mine financially in 2000. Nobody seems willing to excavate the pits to see if the bodies are there or not. But the Multilateral Investment Guarantee Agency (Miga), which is part of the World Bank, provided Barrick with "political risk insurance" worth US$115.8m. So if something like a revolution or a general strike occurred, disrupting gold-mining, the banks backing Barrick would be covered.

The World Bank's guidelines say it will not support projects that involve forced evictions and which violate human rights. Miga claims to have investigated the incident, but many questions remain unanswered. Why did Miga approve the insurance when Barrick's own figures state that only 56 inhabitants out of tens of thousands received token compensation for the loss of habitat and livelihood? Did they notice and consider the legal implications of Kahama's mining licence, which does not mention Bulyanhulu at all, and states that it is for an area 150 miles away? And how can Miga ignore the growing number of people who testify that their loved ones died in those pits?

The UK's executive director on the board of Miga takes instructions from the Department for International Development. So what did Clare Short's department have to say about using public money to back the mine?

In March, an international fact-finding mission went to Tanzania and spoke to people who alleged they had lost loved ones in the mine shafts. But the mission was detained by the Tanzanian police and prevented from getting to Bulyanhulu to question all 250 people who wanted to testify. Tundu Lissu and Rugemeleza Nshala, the president of the lawyers' action team, have been charged with sedition for investigating the alleged massacre. The trial begins this month and, if convicted, the accused face up to two years in prison. Short should find a way to support people who are risking their freedom to find the truth
 
KAMA HABARI HIZI ZINA UKWELI NAOMBA SANA TUJIPANGE NA KUTUMA LAWAMA ZETU KWA BUNGE LA CANADA!...
Ikiwezekana iandikwe barua hasa kwa mwenyeviti wa chama cha Liberal (Stéphane Dion) pamoja na NDP (Jack Layton) kama ilivyokuwa swala la rada Uingereza!
 
Hili jambo nadhani hatutaweza kulizuia kirahisi kutokana na mfumo wenyewe tulio nao; vigogo wetu wakishakatiwa kitu tu, basi jambo limepita. Tunachohitajika kufanya kwa sasa ni kuwaumbua vigogo hawa na mabwana zao wa Baricl na serikali ya Canada kwa juma kwa kupiga kelele sana hadi wapiga kura wetu wasikie (kama wana masikio ya kusikia).

Hilo la kuwaumbua ni muhimu, kamwe katika vita hii tusikubali kushindwa. Haiwezekani Barrick wakaendelea kuchukua mapato ya 99.9913% na kutuachia Watanzania 0.0087% ni bora dhahabu yetu hiyo ikabaki ardhini. Hivi waungwana kuna yeyote anayejua mkataba wa kampuni ya wasouth Afrika inayochimba Tanzanet umekaaje kaaje kimaslahi kwa nchi yetu?
 
Back
Top Bottom