Still Pictures na Mnato

Still Pictures na Mnato

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,621
Reaction score
4,312
Ingelikua wewe ndio unatakiwa ushuke hapa ingelikuaje wakuu?
Kazi Ipo.jpg
 
Hapo namwambia rubani ondoa hiyo mashine haraka
Wadude wanaonekana wana njaa mbaya
 
Hao ni simba tame kama wa zoo. Mie nashuka tu. Hiyo itakuwa ni wellcoming delegation yangu. Naogopa zaidi mtu kuliko simba.
 
Ingelikua wewe ndio unatakiwa ushuke hapa ingelikuaje wakuu?
View attachment 46117


Hapo ni kazi rahisi sana kama una roll ya toilet paper,cha kufanya hakikisha umeifungua kidogo kisha warushie na iwe inawaendea huku ikikunjuka.Kwa ujinga wa Simba watatoka mbio kila mmoja na njia yake wakifikiria umewarushia nyoka na wala hawatarudi tena kisha wewe unashuka kwa raha zako.
 
Mkuu hapo sio SERENGETI hao ni wanyama hai wanatoroshwa hao au nimekosea
 
Dah very Funny pictures for real...nimezienjoy sana
 
inaonekana ndege ilikuwa imepaki sasa wenyewe wamejificha jua kwenye kivuli cha bawa la hiyo ndege.au vp wanajukwaa?
 
Back
Top Bottom