Ukipiga chafya ukiwa macho unaweza ukaafa?

Ukipiga chafya ukiwa macho unaweza ukaafa?

Psalm_23

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2026
Posts
1,639
Reaction score
2,916
Great Thinker... eeh!
Eti ni kweli ukipiga chafya ukiwa macho unaweza ukaafa?

Halafu chafya ina mahusiano gani na mambo ya kiroho wakuu...

Nilishasikia ukipiga chafya unatakiwa useme inshaallah!!!
Au unasikia kimaiti kimepiga chafya... Ndio kinarudi kuwa hai
 
Siyo kweli
downloadfile-20.png
 
Umenikumbusha nina kademu changu kila kakipiga chafya kanapiga juu na chini.... Yani ile fyaaaah na kijambo hapohapo
Basi nakabembeleza na kukaambia ndio napenda hivo
Hahahhhhh kuna tu chafya tunanuka mkuu labda kalikua kanaipiga vyema...
 
Hahahhhhh umejuaje hako kautamu ka mbinguni mkuu... na haujatwaliwa?
Ukihisi unataka kupiga chafya, ukiipiga haiji, unakuwa na sura ya ajabu na kuhisi kama akili haijakutendea haki. Umeshasikia huu utani? "Sura kama ya mtu aliyeshindwa kupiga chafya "
 
Back
Top Bottom