Stiegler’s Gorge kuanza kujengwa rasmi

BimaYaAfya

Member
Nov 10, 2018
69
101
Serikali imekabidhi rasmi mkandarasi eneo kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa bwawa la kuzalisha umeme ‘’Stiegler’s Gorge’’. Hii inatoa njia kwa mkandarasi kuanza kazi rasmi ambayo itaongeza zaidi ya Megawatts za 2,100 za umeme kwenye gridi ya kitaifa.

Serikali imetenga Shilingi bilioni 700 kutoka vyanzo vya mapato ya ndani katika mwaka wa fedha 2018/2019 kwa ajili ya kutekeleza mradi huo.

Eneo la ujenzi wa maradi huo lilikabidhiwa rasmi kwa mkandarasi, Arab Contractors Company ambayo itafanya kazi kwa kushirikiana na kampuni ya EI Swedy na kukamilisha mradi huo mwaka 2022. Bwawa hilo litakuwa kubwa zaidi Afrika, na la kwanza katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, ambalo litakuwa na uwezo wa kutunza maji yenye ujazo wa lita bilioni 3.3, pia litasaidia katika kukuza kilimo cha umwagiliaji.

Mradi huo utakapokamilika utaondoa tatizo la uhaba wa nishati ya umeme nchini
 
Sisi wanyonge haituhusu.....tuondoleee maamuzi ya kiwendawazimu hapa
 
CCM ni ileile!
-%20kipanya.jpeg
 
Ikiwa Jiwe anaweza kuivimbia dunia na akaweza, nampongeza

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Rais anatakiwa aombewe na kupewa ulinzi na kila mwananchi ili akamilishe PLAN zake zote tena napendekeza ahamie pale ngere ngere barracks penye usalama wa hali ya juu kabisa awe anatoa directives akiwa pale bila kutoka ili iwe vigimu hata mamluki kutoka nje kumfikia. Wapiga deal na wahujumu wote wawe wanapelekwa pale kutumbuliwa period. Nimechoka mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza...niishie hapa

Back
Top Bottom