euca
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 3,741
- 4,081
Sisi wanyonge haituhusu.....tuondoleee maamuzi ya kiwendawazimu hapa
Haya ni matumaini kwa marehem anayekaribia kufa kwa ugonjwa wa kansa!!!Ingekua umem ndio mwarobaini wa shida za watu basi ethiopia wanaozalisha zaid ya matumiz yao watu wasingekua wanakimbia nchiSasahivi unapikia kuni kama mnyonge likiisha utapikia umeme usijali
Tulieni kama mnanyolewa. Kuhusu ndege mlisema hazitakuja.Megawatts zaidi ya 2000!
Yetu macho na masikio kwani CCM ni ile ile.
Haya ni matumaini kwa marehem anayekaribia kufa kwa ugonjwa wa kansa!!!Ingekua umem ndio mwarobaini wa shida za watu basi ethiopia wanaozalisha zaid ya matumiz yao watu wasingekua wanakimbia nchi
Hizi ndio huwa lugha zenu alafu mwisho wa siku hadithi hubadilika.
Mmekaririshwa tu hivyo ni kutoa ushuzi tu....jinga kabisa ww!!
Hakuna asiyejua umuhim wa umem hata hivy huwezi kupeleka rasilimali karibu zote kwenye umem wakat kuna matatizo lukuki, nimekupa mfano ethiopia ambao wanazalisha zaid ya wanavyohitaj unaonaje ustawi wao wa maisha???Kwa kuwa mivuvuzera hamuhitaji matumizi ya akili ni kushangilia kama mizombie vile.Hilo tren la umem lipo ethiopia fifteen years back,issue hapa ni ufupi wa kufikiri wa kushindwa kujua kipi kinatakiwa kianze,eti ooh mkulima atasafirisha kwa uraisi,nani kakwambia matatizo ya wakulima ni usafir,kwenda wapi?Hivi korosho kwa sasa inahitaji treni ya umem kupeleka wapi?Hivi kipi kinaanza kiwanda au malighafi, hivi unaweza kujenga kiwanda alafu unaanza mipango ya malighafi?Umezoea kukariri ndio maana hamna hija ya msingi, sema kama umeme hauna faida, una hasara gani? Sio kuongea kama Sokwe ambaye hafikiriii
Nawe kiroboto wa Lumumba kama huumii unajibu nn shenzy type!!!
Hizi ndio huwa lugha zenu alafu mwisho wa siku hadithi hubadilika.